Nilijua unataka tuchangie Uzi wako na tuseme tuyajuayo kumbe unataka ligi haha tumekubali kuwa Rukwa huwezi toboa furhahi wewe👏👏👏Rukwa mnaijua nyie kweli au ndio mazoea ya kuishi kwenye umaskini?
Hata Kwa macho tuu Rukwa au pale Sumbawanga unafananisha na Kigoma? Labda inazidi Lindi tuu
Ngara kumekuchaMkuu ngara hivi pakoje mji umechangamka au bado inajikongoja?
Mkuu ngara hivi pakoje mji umechangamka au bado inajikongoja?
Unataka kusemaje MangiKwa hiyo?!
Neno "ardhi" naona hujaielewa mantiki yake. Njia za kukufanya utoboe huko zipo nyingi shida ni tatizo lilopo kichwani mwako na si Rukwa. Masikini wapo Kila sehemu, umasikini wa mwingine si kigezo cha kufanya wewe usitoboe hiyo si hoja hata kidogo. Nitatizo tu lilopo akilini mwako. Katafute pesa kulingana na naafasi zilizopo usingoje pesa ya zari, utapeli, haramu au kudanga kule Kuna code zake za kutoboa.Wapi ambako hakuna ardhi ya kutosha? Kigoma au Lindi ama Tabora au wapi huko?
Mwisho hakuna takwimu mbaya ambayo Rukwa haikosi,Ardhi pekee hazitoshi kuondoa umaskini
Sahihi mkuu.Neno "ardhi" naona hujaielewa mantiki yake. Njia za kukufanya utoboe huko zipo nyingi shida ni tatizo lilopo kichwani mwako na si Rukwa. Masikini wapo Kila sehemu, umasikini wa mwingine si kigezo cha kufanya wewe usitoboe hiyo si hoja hata kidogo. Nitatizo tu lilopo akilini mwako. Katafute pesa kulingana na naafasi zilizopo usingoje pesa ya zari, utapeli, haramu au kudanga kule Kuna code zake za kutoboa.
Hoja yako imejikita kwenye simple observertion na hauna fact za kujua code za mkoa mwishoni umehamia kufananisha mionekano ya miji ambapo kipimo chako pia Chakupima miji ni sahihi kiasi Gani mpaka kiwe na mamlaka ya kudogosha miji Fulani?( labda wewe unaona uwepo wa madanguro ndio kutoboa? Huwezi kuwa sahihi). Masikini Kila sehemu wapo. Tatizo ni lipo kichwani ndilo linakufanya uone Kila kitu ni tatizo pale thus wazoefu wa Rukwa wamekupinga.Rukwa mnaijua nyie kweli au ndio mazoea ya kuishi kwenye umaskini?
Hata Kwa macho tuu Rukwa au pale Sumbawanga unafananisha na Kigoma? Labda inazidi Lindi tuu
Kwa uzoefu wangu, wa kutembea mikoa mbalimbali ya Tanzania Kagera kuna fursa nyingi kama ulivyo orodhesha hapo ila zinahitaji mitaji mikubwa sana ili kujikomboa kiuchumi.Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Hujaona facts hapo Juu? Mkoa wa Rukwa uko top 10 ya Mikoa maskini,upo top 10 ya Mikoa ambayo inakusanya pesa kiduchu na uko top 10 ya Mikoa inayoongoza Kwa udumavu.Hoja yako imejikita kwenye simple observertion na hauna fact za kujua code za mkoa mwishoni umehamia kufananisha mionekano ya miji ambapo kipimo chako pia Chakupima miji ni sahihi kiasi Gani mpaka kiwe na mamlaka ya kudogosha miji Fulani?( labda wewe unaona uwepo wa madanguro ndio kutoboa? Huwezi kuwa sahihi). Masikini Kila sehemu wapo. Tatizo ni lipo kichwani ndilo linakufanya uone Kila kitu ni tatizo pale thus wazoefu wa Rukwa wamekupinga.
Rukwa zaidi ya utajiri wa uchawi hakuna kitu Cha maana,hakuna zao la biashara Wala migodi ni kama maingilio ya jehanamu.😂😂Neno "ardhi" naona hujaielewa mantiki yake. Njia za kukufanya utoboe huko zipo nyingi shida ni tatizo lilopo kichwani mwako na si Rukwa. Masikini wapo Kila sehemu, umasikini wa mwingine si kigezo cha kufanya wewe usitoboe hiyo si hoja hata kidogo. Nitatizo tu lilopo akilini mwako. Katafute pesa kulingana na naafasi zilizopo usingoje pesa ya zari, utapeli, haramu au kudanga kule Kuna code zake za kutoboa.
Songwe uhakika jamaaVipi Songwe??😄
Kama fikra ndiyo hizi acha ccm watutawale milele,unawaza utajiri wa,uchawi Dunia ya Leo!kwanza wafipa na Hela ya uchawi umewahi sikia wapi,acha stori za vijiweni nenda Rukwa katafute helaRukwa zaidi ya utajiri wa uchawi hakuna kitu Cha maana,hakuna zao la biashara Wala migodi ni kama maingilio ya jehanamu.😂😂
Mimi siwezi ishi Mkoa ambao 99% ya watu ni mafukara.
Mi huwa nashindwa kuelewa,.Fursa zote hizo kweli alafu mtu anakwambia ngumu kutoboa,sema kila mtu na mawazo yake.Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Nini chanzo?Kilimanjaro ni mbaya zaidi kwa utafutaji.
Wachaga na Wapare mkoa wenu hovyo kabisa kwa utafutaji...yaani sufuri
Your facts have no authority of a witness so your claim is absurd. Ondoa presuppositions be objectiveHujaona facts hapo Juu? Mkoa wa Rukwa uko top 10 ya Mikoa maskini,upo top 10 ya Mikoa ambayo inakusanya pesa kiduchu na uko top 10 ya Mikoa inayoongoza Kwa udumavu.
Facts zipi tofauti na hizo? Ulishawahi ona wapi Mkoa unategemea mahindi ukawa na mzunguko wa hela?
Mwisho hukuwahi soma visual observation? Makazi ya watu wa Sumbawanga na Mji kupooza ni ushahidi tosha wa umaskini.
Hapa ndio umejifunua kabisa tatizo lako kichwa chako Kiko na problematic mindset matokeo yake unaona impossibilities na si possibilities. Tiba ondo myths( fikra za kichawi, lango la jehanam), narrow minded ( migodi pekee ndio kutoboa) presuppositions, prejudices zote ili uwe objective katika manga'muzi sahihi. Vinginevyo mizani yako ya upimaji Haina uhalali na ni batili. Null and VoidRukwa zaidi ya utajiri wa uchawi hakuna kitu Cha maana,hakuna zao la biashara Wala migodi ni kama maingilio ya jehanamu.😂😂
Mimi siwezi ishi Mkoa ambao 99% ya watu ni mafukara.
Kwamba unapingana na takwimu za Serikali au? Leta za kwako basi ila sio hivyo kwenye Mikoa 10 maskini Tanznaia Rukwa ipo hutaki ndio hivyoYo
Your facts have no authority of a witness so your claim is absurd. Ondoa pressappositions be objective
Fake and immatureJapo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬
1.Kilimanjaro
2.Shinyanga
3.Simiyu
4.Kagera
5.Singida
6.Rukwa
7.Tabora
8.Dodoma
9.Lindi
10.Kigoma
My Take
Baadhi ya Mikoa Ina potential nzuri ni vile tuu haijafunguliwa kimiundombinu eg Lindi.
Pia soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania: Kagera namba 2, Dodoma namba 5. Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Wee jamaa masikini sana, sasa uliishije Moshi kwa kutegemea kuokota hela na hukuokota hata 100 chakavu kwa miaka 2?Nilikaa Moshi miaka miwili sikuwahi kuokota hata 100 chakavu😂😂😂