SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nitajie mkuu wa Wilaya ya Bumbuli.Ilipitishwa Kutoka katika Halmashauri zilizopaswa Kupandishwa Hadhi kuwa Wilaya Ikiwemo Halmashauri ya Ushetu na Msalala zilizokuwa Wilaya ya Kahama Iliyoko Mkoa wa Shinyanga..
Bumbuli Ikiwemo..
![]()
Wilaya ya Bumbuli - Wikipedia, kamusi elezo huru
sw.m.wikipedia.org