Mikoa mipya Tanzania

Mikoa mipya Tanzania

Kuna eneo sijalitaja hapo au wataka nikutajie na vijiji vya kila wilaya
Mimi nimeishi Tanga Tangu Nikiwa na Mika 14 Mwaka 1986..
Nimekuja Dar mwaka 2003 Ila Tanga Nsijus Vizuri na Naenda Huko Mara kwa Mara saana..
Ninachokuambia Kiko Sahihi..

Tanga Ina Watu wachache sana Na ina eneo Dogo sana
 
Mimi nimeishi Tanga Tangu Nikiwa na Mika 14 Mwaka 1986..
Nimekuja Dar mwaka 2003 Ila Tanga Nsijus Vizuri na Naenda Huko Mara kwa Mara saana..
Ninachokuambia Kiko Sahihi..

Tanga Ina Watu wachache sana Na ina eneo Dogo sana
Mimi ni mzaliwa wa Tanga kabisa ukitoka mombo kuelekea Lushoto hadi mpakani mwa Moshi ni vijiji vitupu pia wazigua wanazaana balaa ni miundo mbinu tu mibovu
 
Mimi ni mzaliwa wa Tanga kabisa ukitoka mombo kuelekea Lushoto hadi mpakani mwa Moshi ni vijiji vitupu pia wazigua wanazaana balaa ni miundo mbinu tu mibovu
Kwa Miaka niliyokaa Tanga Naweza Kujipa Uzaliwa wa Huko Mkuu Nimekaa Tanga kwa Miaka takribani 40 Sasa..

Nimekuelewa na Najua Vizuri Maeneo ya Lushoto kwenda Moshi Au Kuelekea Same huko Ni mapori takribani Kilometer 100 na Kitu Lakini Hiyo sababu Haitoi Uwezo wa Kuwa Mkoa..

PAmoja na Wazigua Kuzaliana Kama Unavyodai na Naamini Ni kweli Ila Bado Tanga Haina Idadi kubwa ya Wakazi na Watu
 

Attachments

  • Screenshot_20250313-112115.png
    Screenshot_20250313-112115.png
    33.2 KB · Views: 1
Bumbulu haijawa Wilaya bado bado ni Halmashauri ndani ya Wilaya ya Lushoto
 
Nitajie mkuu wa Wilaya ya Bumbuli.
Hivi unajua Kuwa Kuna Wilaya Kadhaa Tanzania Zinachangia Mkuu wa Wilaya Mmoja?
Na hiyo ni kwa Sababu ya Kuwa na Miundo mbinu inayoshahabiana..

Kuna Muda Godfrey Gondwe Aliwahi Kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Pangani kwa wakati Mmoja Hata Zainabu aliwahi Kuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani na Korogwe kwa Mara Moja..

So Ukuu wa Wilaya Haujustify Au Ku Unjustufy Wilaya Iliyowekwa kwa Tamko la Serkali..
Pangine Hujui Tifauti ya Halmashauri Wilaya?
 
Imepewa hadhi hiyo lakini bado haijawa Wilaya kamili ndiyom maana haina mkuu wa wilaya na bado iko ndani ya Wilaya ya Lushoto.
Haha Mkuu Imepewa Hadhi mwaka 2015 pamoja Na Halmashauri zingine Kama Ushetu na Msalala..

Zinahesabika Kama Wilaya na Ziko Chini ya Mkuu wa Mkoa Hapo Zinakuwa na Kaimu DC ambaye anaweza Kuwa Ni Mkuu wa wilaya ya Wilaya Jirani..

Jielimishe Kanuni na Sheria Zinasemaje Mkuu..

Haya Ushetu kwa Sasa Ni wilaya Ya Mkoa Wa Shinyanga Nitajie Mkuu wa Wilaya ya Ushetu?

Kuna Protocol Huwa Zinafuatwa Katika Ugawaji wa Wilaya Ili Kulinda Bajeti ya Mkoa..Kumbuka Ukiweka Mkuu wa Wilaya Unahitaji Viongozi Kama 20 Hivi Kwenye Wilaya Hiyo inahitaji bajeti kubwa Hivyo haiwezi kuwekwa Kwa haraka Kama unavyofikiri
 
Back
Top Bottom