SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nitajie mkuu wa Wilaya ya Bumbuli.Ilipitishwa Kutoka katika Halmashauri zilizopaswa Kupandishwa Hadhi kuwa Wilaya Ikiwemo Halmashauri ya Ushetu na Msalala zilizokuwa Wilaya ya Kahama Iliyoko Mkoa wa Shinyanga..
Bumbuli Ikiwemo..
Umewahi Kufika Tanga?Tanga kubwa sana mkuu Kuanzia handeni, Kilindi,pangani,korogwe,Kilindi, Muheza, Lushoto, na Tanga mji wilaya ya Handeni na Lushoto ni kubwa sana
Kuna eneo sijalitaja hapo au wataka nikutajie na vijiji vya kila wilayaUmewahi Kufika Tanga?
Kakola iko mkoa wa Shinyanga sio GeitaNi kakola siyo katola.
Kwa ujumla kwa mikoa mipya Geita inaongoza kwa kuwa na uchumi mzuri tena kushinda hata baadhi ya mikoa ya zamani kama Kagera na Singida.
Mimi nimeishi Tanga Tangu Nikiwa na Mika 14 Mwaka 1986..Kuna eneo sijalitaja hapo au wataka nikutajie na vijiji vya kila wilaya
Mimi ni mzaliwa wa Tanga kabisa ukitoka mombo kuelekea Lushoto hadi mpakani mwa Moshi ni vijiji vitupu pia wazigua wanazaana balaa ni miundo mbinu tu mibovuMimi nimeishi Tanga Tangu Nikiwa na Mika 14 Mwaka 1986..
Nimekuja Dar mwaka 2003 Ila Tanga Nsijus Vizuri na Naenda Huko Mara kwa Mara saana..
Ninachokuambia Kiko Sahihi..
Tanga Ina Watu wachache sana Na ina eneo Dogo sana
Kwa Miaka niliyokaa Tanga Naweza Kujipa Uzaliwa wa Huko Mkuu Nimekaa Tanga kwa Miaka takribani 40 Sasa..Mimi ni mzaliwa wa Tanga kabisa ukitoka mombo kuelekea Lushoto hadi mpakani mwa Moshi ni vijiji vitupu pia wazigua wanazaana balaa ni miundo mbinu tu mibovu
Mkoa wa Tanga una eneo kubwa sana wazigua tunahutaji kuwa na mkoa wetu tutengane na mamwinyi wadigoKwa Miaka niliyokaa Tanga Naweza Kujipa Uzaliwa wa Huko Mkuu Nimekaa Tanga kwa Miaka takribani 40 Sasa
Nitajie mkuu wa Wilaya ya Bumbuli.
Imekwisha Pewa Hadhi ya Wilaya Mkuu Unachokibisha Ni Kipi??Bumbulu haijawa Wilaya bado bado ni Halmashauri ndani ya Wilaya ya Lushoto
Zanzibar-ASP mara ya mwisho kufika manyara ni lini?1. Geita (kuna chimbo linaitwa Katola)
2. Manyara (Babati ndio kila kitu)
3. Songwe.
Hivi unajua Kuwa Kuna Wilaya Kadhaa Tanzania Zinachangia Mkuu wa Wilaya Mmoja?Nitajie mkuu wa Wilaya ya Bumbuli.
Imepewa hadhi hiyo lakini bado haijawa Wilaya kamili ndiyom maana haina mkuu wa wilaya na bado iko ndani ya Wilaya ya Lushoto.Imekwisha Pewa Hadhi ya Wilaya Mkuu Unachokibisha Ni Kipi??
Geita kuna nini cha maana!?Geita wapo mbali sn
sasa hivi tuna-deal na majimbo mapya ya uchaguziHahaha
Wataalamu wa mifumo (system) watuambie kwanini hatujapata mkoa mpya hivi karibuni
Haha Mkuu Imepewa Hadhi mwaka 2015 pamoja Na Halmashauri zingine Kama Ushetu na Msalala..Imepewa hadhi hiyo lakini bado haijawa Wilaya kamili ndiyom maana haina mkuu wa wilaya na bado iko ndani ya Wilaya ya Lushoto.
Kwani Kuna Majimbo mapya π€π³π³sasa hivi tuna-deal na majimbo mapya ya uchaguzi
ndiyo kwa sasa tunapitia makaratasi kama wamekidhi vigezo,jiandae kugombeaKwani Kuna Majimbo mapya π€π³π³
Kapona lakini alikuwa busy na siku yao ya wanawakeHivi huyu kapuku Lucas amepona?