Mikoa mipya Tanzania

Mikoa mipya Tanzania

Mimi nimebahatika kufika mikoa hiyo yote hapo.kwa mzunguko wa pesa naweza sema hivi
1.Njombe
2.Geita
3.Songwe
4.Manyara
5.Katavi
6.Simiyu
 
Geita ipo vizuri hasa Wilaya ya Geita na Mbogwe, ukiachilia Katoro ambao ni mji mkubwa kabisa hasa ki biashara, centre nyingi kama Runzewe, Bwanga, Nyarugusu, Nyawilimilwa ,Kakubilo, Nkome, n.k zinakua kwa Kasi.
 
Mimi nimebahatika kufika mikoa hiyo yote hapo.kwa mzunguko wa pesa naweza sema hivi
1.Njombe
2.Geita
3.Songwe
4.Manyara
5.Katavi
6.Simiyu
Kwanini hii Simiyu inakuwa ya mwisho kabisa mkiani na ilihali wana Hadi ziwa Viktoria?
 
1. Geita (kuna chimbo linaitwa Katola)
2. Manyara (Babati ndio kila kitu)
3. Songwe.
Ni kakola siyo katola.
Kwa ujumla kwa mikoa mipya Geita inaongoza kwa kuwa na uchumi mzuri tena kushinda hata baadhi ya mikoa ya zamani kama Kagera na Singida.
 
Back
Top Bottom