Mikoa Tajiri Tanzania kwa mujibu wa BOT


Hizi takwimu labda ni za mwaka 1980's hapo sawa, lakini kama ni za hivi karibuni mimi kwa upande wangu naona mkoa wa Mara unatakiwa kuwa ndani ya tano bora na kama utataka vigezo ntakupatia vipo vingi tu
 
Tulishaambiwa kilimo ndio uti wa mgongo! Na Mbeya ndio the Giant of Agriculture, nadhani ingefaa Mbeya tuwe namba one!
 
....wachagga mmeshika mkia kwa uzalishaji?

we mwehu kweli unaishi dunia hii kweli?we hujui dar imeongoza kwa sababu ya wachaga?kila penye mchaga ndo penye maendeleo...kwa hyo ww cheza na wachaga utalala njaa mkuu..utadeki bahari kwa ulimii
 
Arusha wanatisha 2.1 trilliom! hiyo ni zaidi ya nini? kwani trillion na trilliom kubwa ipi?
Kwako NEW NOEL
 
Last edited by a moderator:

sema ukweli mkuu munaongoza kwa kukwepa kodi tena hadi munafundishana mbinu za kukwepa kodi.
 
Tupe top5 ya matajiri wa mbeya na origin zao

watu walishindanisha sana matajiri na mabilionea wa mikoa yao humu ndani, kumbe mabilionea wenyewe hawalipi kodi na ofisi za TRA hawaingiagi! Sasa wewe rejea tu takwimu za B.O.T inatosha!
 
yaani arusha wamezidiwa na morogoro, shinyanga na iringa?
kumbe hawa jamaa ni kelele mingimingi tu.

Hivi unaidharau vipi Shinyanga?au kwa vile imetelekezwa tu na serikali?migodi mikubwa mitatu yaani ule wa Almas-mwadui,migodi ya dhahabu iliyo kahama miwili mikubwa sana-bulyanhulu na Buzwagi yote chini ya Africabarrick gold!Kabla simiyu haijaondolewa,Shinyanga ndio mkoa uliokuwa unaongoza kwa kilimo cha pamba Tanzania,ilikuwa na idadi kubwa sana ya mifugo.Licha ya kuwepo idadi kubwa ya watu,bado kuna uzalishaji mkubwa wa mpunga(kahama) hadi kuuza nje ya mkoa na hili linadhihirika kwa kuwepo bank nane wilayani kahama.Nadhani ukitoa Dar ni shinyanga inayofuata kwa kuchangia pesa nyingi nssf Tanzania.Usiidharau shinyanga kwa vile imetelekezwa na serikali mkuu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Siasa tu hizo, hakuna jipya!!! Tajiri DSM hata maji ya bomba kwa 90% ya wakazi hakuna? Watu wameishia kuchimba visima tu!!! Shame!!
 
basi watu washinyanga wapole sana mkuu wamekubali kuendeleza mikoa mingine na wao wanafulia tu!
 
we mwehu kweli unaishi dunia hii kweli?we hujui dar imeongoza kwa sababu ya wachaga?kila penye mchaga ndo penye maendeleo...kwa hyo ww cheza na wachaga utalala njaa mkuu..utadeki bahari kwa ulimii

acha mawazo yakijinga hayo wewe!
 
Kwa Mwanza naweza kukubali kwa kiasi fulani na hata hiyo Arusha unayoisema kwa maana inaweza ikakutikana kuwa zaidi ya 50% ya wamiliki wa uchumi husika ni wazalendo ambapo kwa Dar es Salaam hilo linatia shaka.
 
Hizi takwimu labda ni za mwaka 1980's hapo sawa, lakini kama ni za hivi karibuni mimi kwa upande wangu naona mkoa wa Mara unatakiwa kuwa ndani ya tano bora na kama utataka vigezo ntakupatia vipo vingi tu

Hebu vitaje vigezo vyako kwa mkoa wako wa Mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…