yaani arusha wamezidiwa na morogoro, shinyanga na iringa?
kumbe hawa jamaa ni kelele mingimingi tu.
Tunakumbuka bilionea mmoja wa Tengeru Arusha alifia mahenge morogoro akimiliki migodi kadhaa ya ruby?Mafisadi wamezidi arusha..... maendeleo hayawezi onekana....... watu binafsi wana utajiri sana lakini serikali apeche alolo...
we mwehu kweli unaishi dunia hii kweli?we hujui dar imeongoza kwa sababu ya wachaga?kila penye mchaga ndo penye maendeleo...kwa hyo ww cheza na wachaga utalala njaa mkuu..utadeki bahari kwa ulimii
basi watu washinyanga wapole sana mkuu wamekubali kuendeleza mikoa mingine na wao wanafulia tu!
Hebu vitaje vigezo vyako kwa mkoa wako wa Mara
Vema. tatizo lipo wapi sasa, wananchi wa Mara ndo wamelala usingizi au?!, fikiria asilimia kubwa ya Mbuga ya wanyama ya Serengeti ipo Mkoa wa Mara, lakini Mkoa wa Mara hakuna kampuni za Tours, badala yake wanaofaidika na Mbuga ya Serengeti ni watu kutoka Arusha na Mwanza kidogoMadini ya dhahabu, mbuga za wanyama za Serengeti na Masai Mara plus kilimo
....wachagga mmeshika mkia kwa uzalishaji?] Siyo uzalishaji kaka/dada, GDP haipimwi kwa uzalishaji, inapimwa kwa mchango wa zao la mwisho katika pato la Taifa hasa kupitia kodi. Inawezekana Arusha wengi ni wakwepa kodi.
Labda anafikiri ni wazaramo na wakwere!Hao waliopo Dar ni kina nani......?
Namimi nashangaa imekuwaje!arushaaaaaa namba ngapi? wiizi mtupu
chezea utalii wote ule khaaaaaaaaaaaa
tupe vigezo mkuu.Hizi takwimu labda ni za mwaka 1980's hapo sawa, lakini kama ni za hivi karibuni mimi kwa upande wangu naona mkoa wa Mara unatakiwa kuwa ndani ya tano bora na kama utataka vigezo ntakupatia vipo vingi tu
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charm - National - thecitizen.co.tz
Cha kushangaza ni kuwa mkoa wa Lindi ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo wa mabilioni ndio mkoa wa pili kwa umaskini baada ya mkoa wa Pwani.
Lakini swali ni je,kwanini arusha haipo hata katika top 3 ya mikoa tajiri yenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi ya utalii yanamilikiwa na wageni au mengi yanatokea katika mkoa wa Dsm.
Mmmg ..... sasa hii sifa, mwambie apunguze, na sie tunakuitaji huku!Wachaga wanazalisha mikoa mingine