Wachumi njooni hapa tujue kwanini taarifa za makusanyo ya kodi ziko tofauti kabisa na mchango wa mikoa husika katika pato la taifa ......
acha kupotosha, weka total na siyo vipande. arusha inaweza kuongoza kwwenye kodi za utalii lakini iringa ikaongoza kwenye mazao ya misitu.Wachumi njooni hapa tujue kwanini taarifa za makusanyo ya kodi ziko tofauti kabisa na mchango wa mikoa husika katika pato la taifa ......
Mleta uzi, singida ni ya ngapi jamani na tabora yetu
Wachaga wana mchango mkubwa kwenye mikoa yote, wametawanyika nchi nzima kiuchumi!
Wachaga wanazalisha mikoa mingine
Mleta uzi, singida ni ya ngapi jamani na tabora yetu
tabora isipokuwa na mwisho sio mimi
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charm - National - thecitizen.co.tz
Cha kushangaza ni kuwa mkoa wa Lindi ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo wa mabilioni ndio mkoa wa pili kwa umaskini baada ya mkoa wa Pwani.
Lakini swali ni je,kwanini arusha haipo hata katika top 3 ya mikoa tajiri yenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi ya utalii yanamilikiwa na wageni au mengi yanatokea katika mkoa wa Dsm.
kwa nini isianzishwe zawadi na taasisi zinazosimamia uchumi au wadau wengine kwa mkoa unaweza kuongeza GDP kwa kiwango cha kuridhisha kwa mwaka na wawe wanapewa fedha nzuri itakayowasukuma viongozi na wataalamu huko mikoani kubuni mbinu za kutekeleza hilo.
mimi napendekeza wizara ya fedha itoe sh billioni moja kwa mkoa utakaongeza GDP kufikia asilimia fulani kwa mwaka.
yaani arusha wamezidiwa na morogoro, shinyanga na iringa?
kumbe hawa jamaa ni kelele mingimingi tu.
Watu watakamulia kodi mpaka watoe moshi aiseee