Mikoa Tajiri Tanzania kwa mujibu wa BOT

Hizi tawmu ni za BRN???? Nashangaa Shinyanga, Morogoro na Iringa kuizidi Arusha kwenye orodha ili hali hakuna kiasi kinachochangiwa.
Kadiri ya BRN, ufaulu umefika 81% kutoka 56% ndani ya miaka 2 ili hali juhudi hazionekani.

kwani weunaichukuliaje MORO?
 
Moro tupooooo watakubali tu
 
Yaani mikoa inayoongoza kwa utalii imepitwa hata na Morogoro na Iringa!!!?

Hayo mapato yanaendaga wapi?

Kumbe ndio maana hii nchi haiendelei......

Yaani ww moro unaizarau ww unajua mikoa ipi inayozalisha mazao kwa wangi inchi tz nafikiri yote mi 3 imetajwa hapo ambayo inaweza kulisha ichi nzima moro mbeya na shy na c uzalishaji vipo vingine kama utalii hifadhi ya mikumi viwanda vya sukari viwali mtibwa na kilombero bwawa la umeme la kidatu madini ya ulanga hifadhi ya taifa udzungwa bado unataka nn kwa morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…