Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

MTU aliyeelimika ninadra Sana kuzaa bila mpangilio
 
Kigoma unayoitaja haipo kwenye Mikoa ambayo watu wanazaana sana tena Iko chini ya Wastani wa kitaifa,labda una chuki binafsi 👇👇View attachment 3065256
Hii takwimu sio ya kuzaliana bali ni ya ukuaji wa population. Watu wanaweza wakazaliana sana alafu population ikawa ndogo kwa sababu watu wengi hususani vijana wanaondoka wanaenda dar na mikoa mingne
 
kigoma ,na kilimanjaro kasi ya kuzaliana ipo chini sana rughly sensa ya mwaka 2032 wataongezeka watu laki mbili tu kwa mikoa ya kigoma na moshi.

mikoa iliyobabaki wataongezeka watu milion moja kwa kila mkoa
Unamaanisha nini kwamba mikoa hio hakuna Wanaume au wengi waliopo huko wameleft group la Wanaume tukawasaidie kazi?
 
Ngoja nitaangalia data TDHS
Ukiangalia Kigoma fertility rate iko juu 5.8 juu ya Wastani wa taifa, TDHS 2022. Sijaangalia death na immigration rate kuona why population growth iko low vs high birth rate.
 
Ngoja nitaangalia data TDHS

Ukiangalia Kigoma fertility rate iko juu 5.8 juu ya Wastani wa taifa, TDHS 2022. Sijaangalia death na immigration rate kuona why population growth iko low vs high birth rate.
Inawezekana hizo data za population growth kwa Kigoma zina matatizo, hazina ukweli?

Mkoa wa Kigoma umegawanywa?

Kigoma kwa kumbukumbu zangu ina birth rate kubwa tu.
 
Mbona unatuchukia hivi
Asante kwa kutueleza mapungufu yetu je wewe mwenzetu watokea wapi.Maana Tz tunajuana vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…