Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Inawezakana maana birth rate iko juuInawezekana hizo data za population growth kwa Kigoma zina matatizo, hazina ukweli?
Mkoa wa Kigoma umegawanywa?
Kigoma kwa kumbukumbu zangu ina birth rate kubwa tu.
Labda wanazaliwa wengi ila wanaondoka kwa wingi pia kuhamia mikoa mingine kama Dar, Mwanza n.kInawezekana hizo data za population growth kwa Kigoma zina matatizo, hazina ukweli?
Mkoa wa Kigoma umegawanywa?
Kigoma kwa kumbukumbu zangu ina birth rate kubwa tu.
Kuna kitu amekiongelea. Vijana wengi wanauhama mkoa. Ili kujua kama wanazaliana sana lakini wanahama lazima tupate takwimu zenye kuonesha kila rika lipoje? Inawezekana watu wanafika miaka 13-20 wanahama Kwa Kasi kubwa. Ongezeko la jumla litaonesha ongezeko dogo lakini nyuma ya mstari asilimia 60-40 ni watoto chini ya 15.Naam,
Post #4 umewekewa data kwamba Kigoma haipo katika mikoa yenye uzazi wa juu kama ulivyodai.
Unasemaje hapo?
Loh. Hii balaaKuna mzee kapiga,12 baada ya kuona mke amechoka akakimbia familia akaoa dogo dogo.
Amewaacha watoto wanateseka sana hapo Geita.
Wanaume wanajari starehe zao binafsi na kusahau ustawi na maslahi ya watoto.
Si kwa udogo huu wa population growth.Labda wanazaliwa wengi ila wanaondoka kwa wingi pia kuhamia mikoa mingine kama Dar, Mwanza n.k
Dunia imeshajaaWanaijaza Dunia.
Hiyo itahitaji angalau miaka 13 ku adjust.Kuna kitu amekiongelea. Vijana wengi wanauhama mkoa. Ili kujua kama wanazaliana sana lakini wanahama lazima tupate takwimu zenye kuonesha kila rika lipoje? Inawezekana watu wanafika miaka 13-20 wanahama Kwa Kasi kubwa. Ongezeko la jumla litaonesha ongezeko dogo lakini nyuma ya mstari asilimia 60-40 ni watoto chini ya 15.
Hahahaha hawatakuelewa.Dunia imeshajaa
Siwezi Jenga hoja na mjinga. Najenga hoja na mtu anayejielewa. Rudia kusoma ulicho kuandika halafu uone Kama unastahili kujengewa hojaJenga hoja ,una kiwaaa
Atakuwa amegongewa na wamanyema huyoKigoma unayoitaja haipo kwenye Mikoa ambayo watu wanazaana sana tena Iko chini ya Wastani wa kitaifa,labda una chuki binafsi 👇👇View attachment 3065256
tulishawahi kuja kwako kuomba chakulaKwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??
Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.
Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa kutosha kuwahudumia watoto.
Uharibifu wa mazingira ji mkubwa sana Katavi,Kigoma,Tabora,Geita,Simiyu,
Hakuna tuzo mtakayopewa kwa kuzaa sana.
Unakuta mama anakwenda clinicba watoto watatu wote waba chini ya miaka mitano.
Siku ya clinic kwa kitongoji husika hakuna mwanamje anayebaji ndabi,wote waba watoto wadogo.
Siku ya ubatizo au kipaimara janisa linajaa watoto moaka wabakosa viti.
Siku ya kufanya mitihani madawati yote yanamalizwa na watahiniwa.
Huku ni kama kuhujumu uchumi
NB,zingatia naneno haya growth rate na birthrate na mortality rate
Kigoma wana Growth rate ndogo kitakwimu ila birthrate yao si haba,vijana wanaukimbia sana huu mkoa na ni watanzania wachache sana wanahania Kigoma kutafuta naisha
Watalea Wanawake kwani kazi ya kulea ni ya Mwanaume? Mwanaume kazi yake kupandikiza Mbegu tu masuala ya kulea yanabakia kwa Mwanamke ndio maana mkizinguana mtoto anapewa Mwanamke hupewi Mwanaume ng'oKulea ?
Wanasema eti treni kutoka Kigoma inaenda Dar imejaa pomoni ila ikirudi mabehewa matupu🤣!Naona leo mmetukalia waha kooni.
Acha tuzaane bwana kwani mna tusaidia kutunza? Alafu hilo lakusema waha tuna ukimbia mkoa mbona liko kimchongo? Watu tunasaka fulsa. na si ajabu mleta mada ni msukuma na yuko dar
Ukitoa wasukuma ,na wamasai ,wachaga ni kabila la tatu kwa idadi ya watu, upo sahihi.Wachaga wako wachache!? Wachaga wanazaliana ni wengi sana kama serikali ingekuwa inafanya sensa mwezi wa 12 wangefika hata million 3 na kuendelea ...Wachaga wanaishi mikoani wakizaliwa kule basi wanasepa kweny kutafuta maisha ..
Kuna asilimia kadhaa ya wachaga wamezaliwa mkoani , kule moshi wanaenda tu .
Tanzania yote ni wamoja kokote kule watu wanaenda , kwa hiyo usipime kwa kuangalia watu wanaokaa kilimanjaro tu .
Hiyo itahitaji angalau miaka 13 ku adjust.Kuna kitu amekiongelea. Vijana wengi wanauhama mkoa. Ili kujua kama wanazaliana sana lakini wanahama lazima tupate takwimu zenye kuonesha kila rika lipoje? Inawezekana watu wanafika miaka 13-20 wanahama Kwa Kasi kubwa. Ongezeko la jumla litaonesha ongezeko dogo lakini nyuma ya mstari asilimia 60-40 ni watoto chini ya 15.
How do you explain the low growth rate figures?Kigoma hakuna familia yenye watoto chini ya sita