Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

Naam,

Post #4 umewekewa data kwamba Kigoma haipo katika mikoa yenye uzazi wa juu kama ulivyodai.

Unasemaje hapo?
Kuna kitu amekiongelea. Vijana wengi wanauhama mkoa. Ili kujua kama wanazaliana sana lakini wanahama lazima tupate takwimu zenye kuonesha kila rika lipoje? Inawezekana watu wanafika miaka 13-20 wanahama Kwa Kasi kubwa. Ongezeko la jumla litaonesha ongezeko dogo lakini nyuma ya mstari asilimia 60-40 ni watoto chini ya 15.
 
Hiyo itahitaji angalau miaka 13 ku adjust.

Kigoma haiwezi kuwa na birth rate kubwa hivyo halafu ikawa karibu ya mwisho kwa growth rate.

Hizi data za growth rate inabidi zihakikiwe.
 
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??

Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.

Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa kutosha kuwahudumia watoto.

Uharibifu wa mazingira ji mkubwa sana Katavi,Kigoma,Tabora,Geita,Simiyu,

Hakuna tuzo mtakayopewa kwa kuzaa sana.

Unakuta mama anakwenda clinicba watoto watatu wote waba chini ya miaka mitano.

Siku ya clinic kwa kitongoji husika hakuna mwanamje anayebaji ndabi,wote waba watoto wadogo.

Siku ya ubatizo au kipaimara janisa linajaa watoto moaka wabakosa viti.

Siku ya kufanya mitihani madawati yote yanamalizwa na watahiniwa.

Huku ni kama kuhujumu uchumi

NB,zingatia naneno haya growth rate na birthrate na mortality rate

Kigoma wana Growth rate ndogo kitakwimu ila birthrate yao si haba,vijana wanaukimbia sana huu mkoa na ni watanzania wachache sana wanahania Kigoma kutafuta naisha
tulishawahi kuja kwako kuomba chakula
professors wengi wanatokea kanda ya ziwa, umewasomesha wewe
mkuu tulia, fanya mambo yako. sisi hatumwagi nje
 
Naona leo mmetukalia waha kooni.
Acha tuzaane bwana kwani mna tusaidia kutunza? Alafu hilo lakusema waha tuna ukimbia mkoa mbona liko kimchongo? Watu tunasaka fulsa. na si ajabu mleta mada ni msukuma na yuko dar
Wanasema eti treni kutoka Kigoma inaenda Dar imejaa pomoni ila ikirudi mabehewa matupu🤣!
Ni ya kweli haya?
 
Hiyo itahitaji angalau miaka 13 ku adjust.

Kigoma haiwezi kuwa na birth rate kubwa hivyo halafu ikawa karibu ya mwisho kwa growth rate.

Hizi data za growth rate inabidi zihakikiwe.
Kigoma hakuna familia yenye watoto chini ya sita
 
Wachaga wako wachache!? Wachaga wanazaliana ni wengi sana kama serikali ingekuwa inafanya sensa mwezi wa 12 wangefika hata million 3 na kuendelea ...Wachaga wanaishi mikoani wakizaliwa kule basi wanasepa kweny kutafuta maisha ..

Kuna asilimia kadhaa ya wachaga wamezaliwa mkoani , kule moshi wanaenda tu .

Tanzania yote ni wamoja kokote kule watu wanaenda , kwa hiyo usipime kwa kuangalia watu wanaokaa kilimanjaro tu .
Ukitoa wasukuma ,na wamasai ,wachaga ni kabila la tatu kwa idadi ya watu, upo sahihi.
 
Kuna kitu amekiongelea. Vijana wengi wanauhama mkoa. Ili kujua kama wanazaliana sana lakini wanahama lazima tupate takwimu zenye kuonesha kila rika lipoje? Inawezekana watu wanafika miaka 13-20 wanahama Kwa Kasi kubwa. Ongezeko la jumla litaonesha ongezeko dogo lakini nyuma ya mstari asilimia 60-40 ni watoto chini ya 15.
Hiyo itahitaji angalau miaka 13 ku adjust.

Kigoma haiwezi kuwa na birth rate kubwa hivyo halafu ikawa karibu ya mwisho kwa growth rate.

Hizi data za growth rate inabidi zihakikiwe.
Kigoma hakuna familia yenye watoto chini ya sita
How do you explain the low growth rate figures?
 
Napinga hoja yako mkuu.
nchi yetu bado sana tuna maeneo mengi sana ya wazi ambayo hayajagushwa toka dunia iundwe.

kwa iyo sion haja ya kuleta hoja za kibaguzi,high population inapelekea kuwa na fursa nyingi mno mkuu ndani ya nchi.
labda tu useme selikali ipeleka huduma bora kwa hao wananchi ili waendeleze uzalishaji zaidi.

leo hii nani hawajui wanaijeria,dunia nzima wame jaa kutokana wamezaliana sanaaa.
mkuu acha unafiki na ubaguzi wa kanda.
 
Back
Top Bottom