Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

Mkuu mimi sina ukabila na sipendi ukabila, lakini maeneo mbalimbali ya nchi ninakopita nakutana na wasukuma wanatafuta malisho ya mifugo yao na malisho ya familia, wengi wana idadi kubwa ya familia wakiwemo vijana wadogo wa umri huo.
Uzoefu unaonyesha kuwabadilisha ni kazi ngumu maana uelewa wao ni changamoto hasa wafugaji.
Kama unaishi maeneo hayo jitahidi kuwapa elimu wabadilike.
 
Nimegusia watabadilika kulingana na mazingira ukiona hivyo huyo bado anaamini hiyo ndio njia bora ya yeye kutafuta maisha na hajapata mbadala, huwezi kumuelimisha mtu kuachana na njia yake ya kujitaftia Riziki kabla hajapata mbadala kwake yeye watoto ni wasaidizi katika shughuli za ufugaji na ukulima na huenda wapo waliokwisha badilika
 
Unajua mifumo ya jamii za wafugaji na wakulima hususani hawa wadogo wadogo hu adapt kutoka kizazi kimoja kwenda kingine ni tofauti kidogo ni sisi kada zingine unaweza kusoma IT na ukawa mfanyabiashara wao mzee umri ukisogea anatawanya mali zake kwa kuwagawia vijana nao wakaanzishe himaya zao sasa balaa ndo uanzia hapo,mda si mlefu mtawakuta zambia
 
Kuna mzee kapiga,12 baada ya kuona mke amechoka akakimbia familia akaoa dogo dogo.
Amewaacha watoto wanateseka sana hapo Geita.

Wanaume wanajari starehe zao binafsi na kusahau ustawi na maslahi ya watoto.
[emoji2][emoji2][emoji2] umetaja Geita umenigusa nipo Mbogwe Geita aisee hawa wasukuma kwa speed hii watakuja kujikuta wanaoana wenyewe kwa wenyewe kuna jirani yangu hapa nilipopanga kijijini ana watoto 32 wake 6 halafu jamaa hata miaka 45 hajafikishaa bangoshaaa punguzeni kasi kuzaa sana sio sifa watoto wenyewe wanamaisha magumu utafikir ni wakimbizi
 
Jamaa yeye anachojali ni starehe zake tu za kumbato. Haangalii maslahi wa msoto wa watoto.
Huyo atakuwa mtu mwenye mali so ana uhakika.
 
W
We jamaa bhana hapa hapa Town kuna mtu ni yeye tu na tumbo lake na anashindia mihogo na chai ya Rangi sembuse huyo wa Geita mwenye watoto wengi, kiufupi sisi ni masikini na tumeuzoea umaskini kiasi kwamba ndio mfumo wetu wa maisha!
hata yanayo fanyika serikalini yanaruhusu hili na yamo kwenye mipango ya serikalimaana serikali ni mipango
 
Kawaida sana hiyo kwa mkoa wa Geita vijijini,ila sio powa kabisa,ni kutesa watoto
 
Hawawezi kukuelewa mpaka ncji ikose mvua kwa miska kamaminne mfululizo ndio watajifunza,njaa ndio mwalimu mkuu
 
Kutokana na tabia yao hiyo baadhi ya maeneo wamejikuta na uhaba wa ardhi.
Hilo limepelekea kusambaa nchi nzima kutafuta ardhi kulisha wanyama na familia zao.
Serikali isipochukua hatua stahiki nchi itageuzwa jangwa.
 
Tanzania imeshajaa, wewe zaa kwa sababu zako nyingine ila sio kwa sababu za kuijaza Tanzania.
Uliijaza wewe na familia yako, ukiwa tandale unakula miguu ya kuku, na mlivyorundikana na mauchafu kila sehemu unaona kila sehemu ya Tanzania imejaa.
 
wacha wazae tu bwan,,hii mikoa mingne mayai ya kutotolea watoto tumelia chips
 
Unaandika kwa msukumo wa Chuki au Bangi! Kama umewahi kufika Kigoma (hasa Kigoma mjini) utakubaliana na mimi kuwa asilimia kubwa ya wakazi ni wageni so mpaka hapo hoja yako ya mkoa wa kigoma kutokuwa na wahamiaji wengi imekufa. Turudi kwenye uzaaji ovyo: nipe takwimu ya vizazi kwa mkoa wa Kigoma tulinganishe na mikoa mingine (hasa mkoa wako wewe) then tujue mkoa upi wanazaa kwa fujo.
 
Kuna msukumo wa chuki kwenye andiko lako, Kigoma ni moja kati ya mikoa yenye wageni wengi sana. Ukifika Kigoma mjini utagundua karibia 60% to 70% ni wageni na wqna maendeleo makubwa tu. Fursa ni nyingi so wengi wanaenda kujitafuta. Issue ya uzazi Kigoma watu wanazaa ila siyo kama mikla ya pwani (yenye waislam wengi)
 
Waha wanajaa kwenye treni wakati wa kuja Dar ila kurudi treni ni jeupe...Hao jamaa hawarudi kwao ni wauza vyomba maarufu hapo kariakoo.

Waha ni wakazi rasmi wa Dar wanatambulika kwa biashara zao .
Hiyo treni KGM to DAR ni rahisi sana kuoata tiketi kuliko kupata tiketi ya DAR to KGM maana wanatoka Kigoma ni wachache kulikl wanaoingia. Waha na makabila ya Kigoma ni wafanya biashara na wapambanaji ndomana wanasafiri sana lkn wanasafiri kibiashara na ndomana treni haijawahi kusafiri tupu iwe KGM to DAR au DAR to KGM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…