moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Mkuu mimi sina ukabila na sipendi ukabila, lakini maeneo mbalimbali ya nchi ninakopita nakutana na wasukuma wanatafuta malisho ya mifugo yao na malisho ya familia, wengi wana idadi kubwa ya familia wakiwemo vijana wadogo wa umri huo.Hapo factor ya kwanza ni Utamaduni wa jamii husika hususani jamii nyingi za kiafrika tulikuwa na mambo ya ndoa za mitaala na uzaaji wa watoto wengi kama nguvu kazi, tamaduni huondoka taratibu kulingana na mazingira na muingiliano wa watu tofauti tofauti hivyo ni suala la muda tu hivyo vitu vitaondoka vyenyewe
Uzoefu unaonyesha kuwabadilisha ni kazi ngumu maana uelewa wao ni changamoto hasa wafugaji.
Kama unaishi maeneo hayo jitahidi kuwapa elimu wabadilike.