Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

Hiyo itahitaji angalau miaka 13 ku adjust.

Kigoma haiwezi kuwa na birth rate kubwa hivyo halafu ikawa karibu ya mwisho kwa growth rate.

Hizi data za growth rate inabidi zihakikiwe.
Unapinga takwimu!? Leta takwimu zako.
 
tatizo umewaandikia watu gani? Tanzania wajinga ndio wengi asilimia 95 ni watu wajinga. hili lako watakufurumishia mimawe hawatakuelewa.
 
Wasukuma nahisi ndio wanaongoza kwa kuzaliana Tz
Tulikuwa na mpangaji msukuma ana wake wawili watoto 15 na hapo mke mkubwa kamuacha Geita na watoto wengine.!!
Nilishangaa sana.!
 
Unapinga takwimu!? Leta takwimu zako.
Kwani haiwezekani kujua kwamba jibu fulani si sahihi kabla ya kujua jibu sahihi ni lipi?

Kwani siwezi kujua square root ya 2 si 10 kabla ya kujua kuwa square root ya 2 ni nini?

Kwani takwimu hazikosewi?
 
Wasukuma nahisi ndio wanaongoza kwa kuzaliana Tz
Tulikuwa na mpangaji msukuma ana wake wawili watoto 15 na hapo mke mkubwa kamuacha Geita na watoto wengine.!!
Nilishangaa sana.!
uzae hovyo uwe una uwezo wa kuwahudumia na kuwawekea mazingira bora ya kujitegemea. lakini mang'ombe mtu yanazaliana kama mapanya kwa kusema eti ardhi na chakula kipo. akili za mate ukitema yamekauka. majitu ya hivyo ni ya kuyatwanga risasi. taifa linaelemewa na idadi ya watu wasiozalisha wala kua na tija.
unakuta huyo mzee hakuna hata mtoto mmoja mwenye elimu na shughuli ya maana.
 
😂😂😂 umeongea kwa hisia sana.!!
Kunywa maji kaka, hilo kabila kwenye kilimo cha watoto hawawezi kukuelewa.!!
Wao wanaamini kwenye kilimo na ufugaji, sema ni wachapakazi.!!
Ss hivi wasukuma wamesambaa sehemu nyingi zenye ardhi zenye rutuba, niliwaona sumbawanga wengi.
 
Kwani haiwezekani kujua kwamba jibu fulani si sahihi kabla ya kujua jibu sahihi ni lipi?

Kwani siwezi kujua square root ya 2 si 10 kabla ya kujua kuwa square root ya 2 ni nini?

Kwani takwimu hazikosewi?
Leta takwimu sahihi ili tuone hizi zimekosewa wapi. Takwimu zinapingwa kwa takwimu vinginevyo ni porojo.
 
😂😂😂 umeongea kwa hisia sana.!!
Kunywa maji kaka, hilo kabila kwenye kilimo cha watoto hawawezi kukuelewa.!!
Wao wanaamini kwenye kilimo na ufugaji, sema ni wachapakazi.!!
Ss hivi wasukuma wamesambaa sehemu nyingi zenye ardhi zenye rutuba, niliwaona sumbawanga wengi.
huwa naumia kuona watoto wanaishi kwa taabu kwa ubinafsi wa wazazi.
nilipokua bongo kuna msukuma dogo tu wa 93 kamzalisha msukuma mwenzake watoto 9 sijui 8 wale. wa kwanza bado kadogo kakawa ka beki 3 nyumba ya jirani kwa mkurya. mkurya mwenyewe akawa anakatesa. imagine li baba lake linamuambia afanye kazi ya ubeki 3 amsaidie kulea wenzake. nilichoka!
 
Leta takwimu sahihi ili tuone hizi zimekosewa wapi. Takwimu zinapingwa kwa takwimu vinginevyo ni porojo.
Kwani takwimu hizi haziwezi kuwa si sahihi wakati hatujapata takwimu sahihi bado?

Unajua methodology ya kupata takwimu sahihi Tanzania na changamoto zake?

Unaelewa kuwa katika elimination method na Hegelian dialectic unaweza kuanza kubishia jibu kuwa si sahihi kabla hata ya kupata jibu sahihi?

Au unakariri tu kwamba takwimu zinabishiwa na takwinu?
 
huwa naumia kuona watoto wanaishi kwa taabu kwa ubinafsi wa wazazi.
nilipokua bongo kuna msukuma dogo tu wa 93 kamzalisha msukuma mwenzake watoto 9 sijui 8 wale. wa kwanza bado kadogo kakawa ka beki 3 nyumba ya jirani kwa mkurya. mkurya mwenyewe akawa anakatesa. imagine li baba lake linamuambia afanye kazi ya ubeki 3 amsaidie kulea wenzake. nilichoka!
Hauko bongo ss hivi uko wapi mkuu?!
Huyo mkewe mjinga, nyota ya kijani haijui??
Kuna watu wanaendekeza ngono aisee.!!
Hapo km mumewe wa 93 basi mke wa 95 au 97…. Sasa nawaza kaweza vipi kuzaa watoto wote hao??
 
Geita kukuta binti wa miaka 20 ana watoto wawili au watatu kawaida
 
Kuna msukumo wa chuki kwenye andiko lako, Kigoma ni moja kati ya mikoa yenye wageni wengi sana. Ukifika Kigoma mjini utagundua karibia 60% to 70% ni wageni na wqna maendeleo makubwa tu. Fursa ni nyingi so wengi wanaenda kujitafuta. Issue ya uzazi Kigoma watu wanazaa ila siyo kama mikla ya pwani (yenye waislam wengi)
We ni fala mi niandike kwa chuki muha sna kipi cha kufanya nimchukie
 
Unaandika kwa msukumo wa Chuki au Bangi! Kama umewahi kufika Kigoma (hasa Kigoma mjini) utakubaliana na mimi kuwa asilimia kubwa ya wakazi ni wageni so mpaka hapo hoja yako ya mkoa wa kigoma kutokuwa na wahamiaji wengi imekufa. Turudi kwenye uzaaji ovyo: nipe takwimu ya vizazi kwa mkoa wa Kigoma tulinganishe na mikoa mingine (hasa mkoa wako wewe) then tujue mkoa upi wanazaa kwa fujo.
Huna hoja wewe mama
 
Back
Top Bottom