Mikoa ya kanda ya Ziwa na Magharibi hakuna vyuo vya degree vya Sheria wala sayansi, Serikali imetusahau?

Saut wanatoa degree ya sheria za kuku?
 
Sauti hawafundishi? sidhani, pia Mwanza kuna tawi la Mzumbe kama sijakosea
Vyuo hivi havitapokeo maombi ya kozi zifuatazo kwa mujibu wa Tume ya vyuo vikuu (TCU)

SAUT Mwanza
  • Bachelor of Laws
  • Bachelor of Arts in Sociology
  • Bachelor of Philosophy with Education
  • Bachelor in Tourism and Hospitality Management

UDOM
  • Bachelor of Education in Science with ICT
  • Bachelor of Education in Psychology
  • Bachelor of Education in Science
  • Bachelor of Education in Commerce
  • Bachelor of Education in Arts
  • Bachelor of Education in Adult Education and Community Development
  • Bachelor of Education in Guidance and Counselling
  • Bachelor of Education in Administration and Management
  • Bachelor of Education in Policy Planning and Management

St. John - Degree ya Pharmacy

Kampala - Degree ya Medical Doctor
 
Una hi notice nisaidie
 
Ajabu wa bunge wa huko kama msukuma wageita,shigongo,na wengineyo husema mama amemaliza Kila kitu kuleta maendeleo mikoa hiyo.Kumbe Huwa wanasifika upuuzi tu
 
Asante kwa taarifa mkuu
 
Mwaka huu tia wata dahili campus yao ya kigoma kwa hiyo usiwaze wanaotaka hizo fani. watapata hapo nimeona kinauwezo wakuchukua kama watu elfu mbili hivi
 
Kwani miaka yote walisomea wapi, acha siasa za kipumbavu. Chuo kikuu si shule ya kata. We ndio mbaguzi unaokoteza vt vya kipuuzi. Nani kaiweka Mwanza makao makuu ya hiyo mikoa? Dogo huo ni uasi, umeshagawa nchi kwenye kanda? Nyie vitoto vya shule ya kata ni hatari na janga kwa umoja wa kitaifa. Ndio mara ya kwanza form six kumaliza shule? Miaka yote wanaendaga kusoma wapi. Acha ushamba we mbwa koko.
 
Kigoma ipo Kanda ya magharibi
Ikihusisha Mikoa ya Tabora, Katavi na Kigoma.
Je, Tabora hakuna vyuo vikuu?
Maana ndio makao makuu ya Kanda ya magharibi.
Mkiitwagwa washamba, hayo makao makuu nani katangaza? Na kuna ofisi za kiutawala za kanda? Vitoto vya siku hizi vimedumaa akili mpk aibu,
 
Mwaka huu tia wata dahili campus yao ya kigoma kwa hiyo usiwaze wanaotaka hizo fani. watapata hapo nimeona kinauwezo wakuchukua kama watu elfu mbili hivi
TIA ni chuo cha uhasibu, hakuna kozi za sheria wala sayansi
 
TIA ni chuo cha uhasibu, hakuna kozi za sheria wala sayansi
Ni kweli kbs kwan hamna wanafunzi wanatoka kigoma kuja kusoma?uhasibu dar,arusha,mwanza , mbeya saiv huduma itakuwa karibu labda kama anataka kuja mjini tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…