Mikoa ya kanda ya Ziwa na Magharibi hakuna vyuo vya degree vya Sheria wala sayansi, Serikali imetusahau?

Ni kweli kbs kwan hamna wanafunzi wanatoka kigoma kuja kusoma?uhasibu dar,arusha,mwanza , mbeya saiv huduma itakuwa karibu labda kama anataka kuja mjini tuu
Ndio umuhimu huo sasa wa wanafunzi waliomaliza sekondari kuwa na chuo umbali usiozidi kilometa 300, inakuwa rahisi kusomea huko huko mfano wanafunzi wa Mara na Geita wanaweza kwenda Mwanza kusoma uhasibu TIA, IFM au CBE, Pia kuna IFM mkoa jirani wa Simiyu.

Wanafunzi wa Kigoma, Kagera na Katavi wanaweza kusogea TIA ya Kigoma.

Shida inakuja hizo kozi kama Law, Mwanafunzi kamaliza form 6 hakuna chuo karibu inabidi aende mikoa ya Mbali sana
 
Sema wapewe muda tu inawezekana ikatokea cumpus ya chuo kingine
 
Walishawai kukosa huduma ya hao wataalam kwa sababu hakuna hivyo vyuo
And acha ubinafsi na ubaguzii wa kikandaa
.
Haha yako dhaifu pamoja na kuandika maandiko mengi lkn huna hoja
 
UDSM WANAENDELEA na ujenzi KAGERA
 
Matusi yako yanadhihirisha ulivyo wewe na siyo nilivyo mimi.

Nilichokiandika ni sahihi na matusi yako ni uthibitisho mwingine kwamba nipo sawa.

Pole!
Ww ibra ulitaka akwambiaje sasa? Mfano hiyo ya harmonize ilikuwa ni sawa kusema public lakn. Ndoa ya kiislamu ni simple sana kama mtu atataka ivyo kwa hy yy ameona iwe ivyo wew una lalamika nn? sasa
 
Mwanza kuna Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino SAUT,Mwanza kuna chuo kikuu Bugando, Shinyanga kuna chuo ,Campus ya Chuo cha ushirika Moshi .!
 
Ww ibra ulitaka akwambiaje sasa? Mfano hiyo ya harmonize ilikuwa ni sawa kusema public lakn. Ndoa ya kiislamu ni simple sana kama mtu atataka ivyo kwa hy yy ameona iwe ivyo wew una lalamika nn? sasa

Watu wa Kanda milk mna taabu.

Mada za Ibra zinaingiaje humu. Punguzeni majani!
 
Nan? Wa kanda ya milk wewπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ rudi kweny uzii hapo juu
Ulichokijibu sicho kinachojadiliwa

Kanda milk mnaongoza kwa kukosea namba.

Sishangai sana hapa umekosea mada
 
Nchi hii ni yetu sote, wanaosoma dodoma au dsm wanatoka kanda zote na hata nje ya nchi. Nilitegemea useme vyuo havitoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…