Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaongoza kwa matukio ya ukatili wa wenza

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi.

Mikoa iliyotajwa kuathirika zaidi na ukatili ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita wakati iliyotajwa kuwa na kiwango cha chini cha ukatili kwa wenza ni Pemba, Ukanda wa Pwani na Tanga.

Wataalamu Afya ya Akili wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) wamesema hayo walipokuwa katika Kongamano la Sayansi, wametaja sababu za kutokea kwa matukio hayo ni ukosefu uhuru wa kiuchumi kwa Wanawake, umasikini wa jamii, kuathirika kisaikolojia kwa wale waliopitia ukatili na aina ya malezi.
 
Hatari Sana, Pia Wanasema Kansa Nayo Ni Kanda Ya Ziwa
Haya Mambo Magumu Mno!!!
 
Baada ya kuona mikoa yenye hali nzuri nimegundua kitu!
Tunaambiwa mapenzi ni pande mbili sasa ukiangalia mikoa isiyo na hali hiyo,wake wa huko wanajitahidi kuyajulia mapenzi!

kumbe tunaweza kuangaalia upande mmoja tukaipokea hela na kuitunza mfukoni wakati upande mwingine UMEOZA!
 
Hatari Sana, Pia Wanasema Kansa Nayo Ni Kanda Ya Ziwa
Haya Mambo Magumu Mno!!!
UKIMWI umeanzia huko.
VITA ILIYOTUDIDIMIZA kiuchumi pia ilitokea huko.
Jamaa aliyetaka kutudidimiza katokea huko!
Kuna kila sababu ya kuwaachia mikoa yao ili sehemu nyingine zibaki salama!!
 
Mbona watu wanasema ni kanda yenye wasomi wengi nchini sasa wanafeli wapi ?
Zawami sasa ni Kuna balance kidogo hata wahaya na wachaga wapo ila zamani sana sasa angalau Kuna balance
 
UKIMWI umeanzia huko.
VITA ILIYOTUDIDIMIZA kiuchumi pia ilitokea huko.
Jamaa aliyetaka kutudidimiza katokea huko!
Kuna kila sababu ya kuwaachia mikoa yao ili sehemu nyingine zibaki salama!!
Mzilankende Mnyago Huyo
 
sasa Pemba,Pwani na Tanga huko si ndio mapenzi yalikozaliwa ?

mi mwenyewe nikipenda napenda kweli mpaka anayependwa anajiona duniani yuko peke yake.

achana na hao wa mama bhoke lla nikulenge mura ...
 
Kule ustarabu bado haujafika

Mijitu bado ina akili za ujima

Wanaitaji kukombolewa kwakweli
 
Back
Top Bottom