Mikoa ya Kaskazini ni matajiri ila mbona nguo za mitumba nyingi?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Mtumba ni kitu kilichovaliwa Ulaya huko mzungu kapigia mpaka deki mitumba ya watoto wameikojolea wee kisha wanaifunga na kuuza Afrika.

Sasa kwa jamaa wa kaskazini ambao huwa wanasema kuwa matajiri kuna hela inakuwa vipi wanavaa sana madaso ambayo yakivaliwa sana huko Ulaya?

Kuanzia Moshi, Arusha na Manyara kote mitumba ni mingi mnoo ina maana wanashindwa kununua vitu ambavyo havijatumika?

Au utajiri wao ni kwenye kunywa K vant?
 
Mtumba una grade.
Kuna grade ambazo wakati umepita madukani au wanasafisha duka.
Kuna grade zilizotumiwa kwa mda mfupi na kuuzwa tena.
Kuna grade ambazo hata serekali kuziruhusu ni kosa kama unazozisema kwenye uzi wako
 
Wewe sasa ushaachika na mpezi wa kaskazini maana uandishi tu una onyesha huna akili alafu umekurupuka.. hujui hoja yako ina maana gani ila unajua kuandika hasira zako binafsi.

Kama unadhani utajiri ni kuvaa nguo za dukani, basi sita kushangaa ukidhani umaskini ni kula mboga za majani na dagaa, kumbe hizi ni choice za watu binafsi. Kama hujajua basi jua leo kuwa kuna Mitumba grade one ambayo hata mzungu anayetoka Ulaya akija nchini ana nunua na kuvaa. So acha ushamba na chuki zako binafsi.

Kama kuna demu wa Kaskazin kakutema kwa umasikin wako, basi tafuta mapungufu yake binafsi na siyo ku generalised the entire community of northen.
 
Ni bora kuvaa mtumba kuliko kuvaa mchina. Afu mleta mada mbn haujashangaa watu wa pwani na kusini kwa kupenda kununua misuli na kaniki.
 
Hivi unajua bei ya mtumba grade 1 kweli!? Sio kwamba hatuna hela ,mtumba unadumu ,Ina quality kuliko hizo mdosho mnazovaa hapo dar na wajanja wengi hawawezi vaa mdosho wanazamia kwenye mtumba .
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
 
Endelea kuchezewa matako.
 
Ina husiana vip na post hii?? ukiwa na upenzi wa siasa katafute magroup husika.. Mwehu wewe
 
Mtumba una grade.
Kuna grade ambazo wakati umepita madukani au wanasafisha duka.
Kuna grade zilizotumiwa kwa mda mfupi na kuuzwa tena.
Kuna grade ambazo hata serekali kuziruhusu ni kosa kama unazozisema kwenye uzi wako
Mtumba ni mtumba ushavaliwa huko nje ndio maana unaitwa mtumba
 
Wewe sasa ushaachika na mpezi wa kaskazini maana uandishi tu una onyesha huna akili alafu umekurupuka.. hujui hoja yako ina maana gani ila unajua kuandika hasira zako binafsi.

Kama unadhani utajiri ni kuvaa nguo za dukani, basi sita kushangaa ukidhani umaskini ni kula mboga za majani na dagaa, kumbe hizi ni choice za watu binafsi. Kama hujajua basi jua leo kuwa kuna Mitumba grade one ambayo hata mzungu anayetoka Ulaya akija nchini ana nunua na kuvaa. So acha ushamba na chuki zako binafsi.

Kama kuna demu wa Kaskazin kakutema kwa umasikin wako, basi tafuta mapungufu yake binafsi na siyo ku generalised the entire community of northen.
Unatetea kuwa kaskazini kuvaaa mitumba n ufahari? Nguo ukiyovaliwa na wew kuja kuivaaa ni ufahari kuwa hutaki kuonekana unahela ama unaishi maisha ya kaiwaida?
Mtumba ni mtumba ushavaliwa ukivaa unavaa marudio hamna cha grade
Na kila nguo ya mtumba sasaiv Tanzania unaipata mpyaaa sema nyie hela zenu za manati ila sifa nyingi
 
Hivi unajua bei ya mtumba grade 1 kweli!? Sio kwamba hatuna hela ,mtumba unadumu ,Ina quality kuliko hizo mdosho mnazovaa hapo dar na wajanja wengi hawawezi vaa mdosho wanazamia kwenye mtumba .
Tajiri unanunua kitu uvae miaka 5? Kweli ili kidumu kununua kitu kidumu mda mrefu ni umaskini uliochangamka matokeo yake unavaa mpaka nguo ambayo haipo kwenye fashion
 
Back
Top Bottom