Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Kuna mtumba haujavaliwaMtumba ni mtumba ushavaliwa huko nje ndio maana unaitwa mtumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtumba haujavaliwaMtumba ni mtumba ushavaliwa huko nje ndio maana unaitwa mtumba
Kwani hizo nguo za dukani huko kariakoo sh. Ngapi na nguo za mitumba kwenye quality shops sh ngapi??Unatetea kuwa kaskazini kuvaaa mitumba n ufahari? Nguo ukiyovaliwa na wew kuja kuivaaa ni ufahari kuwa hutaki kuonekana unahela ama unaishi maisha ya kaiwaida?
Mtumba ni mtumba ushavaliwa ukivaa unavaa marudio hamna cha grade
Na kila nguo ya mtumba sasaiv Tanzania unaipata mpyaaa sema nyie hela zenu za manati ila sifa nyingi
Mtumba ni kitu kilichovaliwa Ulaya huko mzungu kapigia mpaka deki mitumba ya watoto wameikojolea wee kisha wanaifunga na kuuza Afrika.
Sasa kwa jamaa wa kaskazini ambao huwa wanasema kuwa matajiri kuna hela inakuwa vipi wanavaa sana madaso ambayo yakivaliwa sana huko Ulaya?
Kuanzia Moshi, Arusha na Manyara kote mitumba ni mingi mnoo ina maana wanashindwa kununua vitu ambavyo havijatumika?
Au utajiri wao ni kwenye kunywa K vant?
Ukweli hautabadilishwa na ulichojaribu kuandika. Aliyekutangulia kakutangulia tu. Jaribu kufikiri namna ya kujikwamua usiishie kuwasuta watu wa kaskazini kwani wao sio asili ya taabu zako.Mtumba ni kitu kilichovaliwa Ulaya huko mzungu kapigia mpaka deki mitumba ya watoto wameikojolea wee kisha wanaifunga na kuuza Afrika.
Sasa kwa jamaa wa kaskazini ambao huwa wanasema kuwa matajiri kuna hela inakuwa vipi wanavaa sana madaso ambayo yakivaliwa sana huko Ulaya?
Kuanzia Moshi, Arusha na Manyara kote mitumba ni mingi mnoo ina maana wanashindwa kununua vitu ambavyo havijatumika?
Au utajiri wao ni kwenye kunywa K vant?
Ukweli hautabadilishwa na ulichojaribu kuandika. Aliyekutangulia kakutangulia tu. Jaribu kufikiri namna ya kujikwamua usiishie kuwasuta watu wa kaskazini kwani wao sio asili ya taabu zako.
Mtumba una grade.
Kuna grade ambazo wakati umepita madukani au wanasafisha duka.
Kuna grade zilizotumiwa kwa mda mfupi na kuuzwa tena.
Kuna grade ambazo hata serekali kuziruhusu ni kosa kama unazozisema kwenye uzi wako
Wewe sasa ushaachika na mpezi wa kaskazini maana uandishi tu una onyesha huna akili alafu umekurupuka.. hujui hoja yako ina maana gani ila unajua kuandika hasira zako binafsi.
Kama unadhani utajiri ni kuvaa nguo za dukani, basi sita kushangaa ukidhani umaskini ni kula mboga za majani na dagaa, kumbe hizi ni choice za watu binafsi. Kama hujajua basi jua leo kuwa kuna Mitumba grade one ambayo hata mzungu anayetoka Ulaya akija nchini ana nunua na kuvaa. So acha ushamba na chuki zako binafsi.
Kama kuna demu wa Kaskazin kakutema kwa umasikin wako, basi tafuta mapungufu yake binafsi na siyo ku generalised the entire community of northen.
NAUZA BALO ZA MTUMBA PIA NAANDIKA NNACHOKIJUAKuwa serious nmeuza sana mitumba dodoma sabasaba nachoongea najua
Hakuna cha special wala nini mtumba ni nguo used ungekuwa hujatumika usingekuja kwenye masandarusiNAUZA BALO ZA MTUMBA PIA NAANDIKA NNACHOKIJUA
KUNA SPECIAL CLEARANCE HUFANYIKA ULAYA HUKO NA MIZIGO HULETWA TANZANIA
WAHINDI WANASORT WANAWEKA KWENYE MADUKA YAO WANAZIFUNGA UPYA UNALETEWA SABASABA DODOMA.
Badala ya kujibu kwa nini hawavai ngui mpya we unatetea mitumba.Mtumba una grade.
Kuna grade ambazo wakati umepita madukani au wanasafisha duka.
Kuna grade zilizotumiwa kwa mda mfupi na kuuzwa tena.
Kuna grade ambazo hata serekali kuziruhusu ni kosa kama unazozisema kwenye uzi wako