Ndiyo nini mkuu?
Umetuhumiwa huna hela kazi kuvaa mtumba tu. Mjibu mwenye uzi hapoNdiyo nini mkuu?
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Ina husiana vip na post hii?? ukiwa na upenzi wa siasa katafute magroup husika.. Mwehu weweSiyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Mtumba ni mtumba ushavaliwa huko nje ndio maana unaitwa mtumbaMtumba una grade.
Kuna grade ambazo wakati umepita madukani au wanasafisha duka.
Kuna grade zilizotumiwa kwa mda mfupi na kuuzwa tena.
Kuna grade ambazo hata serekali kuziruhusu ni kosa kama unazozisema kwenye uzi wako
Unatetea kuwa kaskazini kuvaaa mitumba n ufahari? Nguo ukiyovaliwa na wew kuja kuivaaa ni ufahari kuwa hutaki kuonekana unahela ama unaishi maisha ya kaiwaida?Wewe sasa ushaachika na mpezi wa kaskazini maana uandishi tu una onyesha huna akili alafu umekurupuka.. hujui hoja yako ina maana gani ila unajua kuandika hasira zako binafsi.
Kama unadhani utajiri ni kuvaa nguo za dukani, basi sita kushangaa ukidhani umaskini ni kula mboga za majani na dagaa, kumbe hizi ni choice za watu binafsi. Kama hujajua basi jua leo kuwa kuna Mitumba grade one ambayo hata mzungu anayetoka Ulaya akija nchini ana nunua na kuvaa. So acha ushamba na chuki zako binafsi.
Kama kuna demu wa Kaskazin kakutema kwa umasikin wako, basi tafuta mapungufu yake binafsi na siyo ku generalised the entire community of northen.
Tajiri unanunua kitu uvae miaka 5? Kweli ili kidumu kununua kitu kidumu mda mrefu ni umaskini uliochangamka matokeo yake unavaa mpaka nguo ambayo haipo kwenye fashionHivi unajua bei ya mtumba grade 1 kweli!? Sio kwamba hatuna hela ,mtumba unadumu ,Ina quality kuliko hizo mdosho mnazovaa hapo dar na wajanja wengi hawawezi vaa mdosho wanazamia kwenye mtumba .