Mikoa ya Kaskazini ni matajiri ila mbona nguo za mitumba nyingi?

Kwani hizo nguo za dukani huko kariakoo sh. Ngapi na nguo za mitumba kwenye quality shops sh ngapi??
 
Pochi mtumba 30k,ya dukani kariakoo 15k
Nani ana ela hapo?
 
Ndugu mtoa mada unajua thamani ya hiki kiatu cha mtumba.......???

Moja ya kanuni ya kutunza fedha ni kununua bidhaa bora inayodumu......

Mleta mada wacha tuvae mtumba kwa raha zetu mbona mume wako naye mtumba alishatumika sana tu..!
 
sifa ya mtumba ni ya kipekee siyo yeboyebo mimi niliacha kuvaa special baada kuona watu amevaa shati kama langu
 
Wana utajiri gani ? Hso ni maskini wa kutupwa
 
Ukweli hautabadilishwa na ulichojaribu kuandika. Aliyekutangulia kakutangulia tu. Jaribu kufikiri namna ya kujikwamua usiishie kuwasuta watu wa kaskazini kwani wao sio asili ya taabu zako.
 
Kuna watu wenye shida kama wakaskazini ?
Ukweli hautabadilishwa na ulichojaribu kuandika. Aliyekutangulia kakutangulia tu. Jaribu kufikiri namna ya kujikwamua usiishie kuwasuta watu wa kaskazini kwani wao sio asili ya taabu zako.
 
Mtumba una grade.
Kuna grade ambazo wakati umepita madukani au wanasafisha duka.
Kuna grade zilizotumiwa kwa mda mfupi na kuuzwa tena.
Kuna grade ambazo hata serekali kuziruhusu ni kosa kama unazozisema kwenye uzi wako

Mtumba mtumba tuu, kama una hela utavaa kitu kipya na original.
 
Watu wa kaskazini ni waongeaji sana na wanajisifu ndo maana wanadhaniwa kuwa namali kumbe hawana
 
Kule Kuna mentality kwamba vitu used toka huko ulaya vinadumu kuliko vya mchina ambavyo ukifua tu vinapauka.

Na wanaona kama vile kuvaa nguo mpya ni ushamba,

Wanasema ni pigo za kilokole kuvaa za dukani.
 
Kununua nguo iliyotumika inamaanisha huna hela kuinunua nguo hiyo ikiwa mpya, usijitetee
 
Binafsi bado sijawa tajiri, ila nina mpango kabla sijafa niwe nimeshakuwa tajiri. Napenda sana mitumbaaaa, tena yale magumu magumu yani, buti ngumu, jeans ngumu mkataba nk.
 
Kuwa serious nmeuza sana mitumba dodoma sabasaba nachoongea najua
NAUZA BALO ZA MTUMBA PIA NAANDIKA NNACHOKIJUA
KUNA SPECIAL CLEARANCE HUFANYIKA ULAYA HUKO NA MIZIGO HULETWA TANZANIA
WAHINDI WANASORT WANAWEKA KWENYE MADUKA YAO WANAZIFUNGA UPYA UNALETEWA SABASABA DODOMA.
 
Hakuna cha special wala nini mtumba ni nguo used ungekuwa hujatumika usingekuja kwenye masandarusi
 
Mtumba una grade.
Kuna grade ambazo wakati umepita madukani au wanasafisha duka.
Kuna grade zilizotumiwa kwa mda mfupi na kuuzwa tena.
Kuna grade ambazo hata serekali kuziruhusu ni kosa kama unazozisema kwenye uzi wako
Badala ya kujibu kwa nini hawavai ngui mpya we unatetea mitumba.
Jibu swali kwa nini hawavai nguo mpya hali ni matajiri wa kipato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…