Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

Kadodo1

Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
25
Reaction score
24
TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA
ttanesco 1.jpg

ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza umeme utapokea token za makundi matatu yenye namba 60. Hivyo, ingiza kundi la kwanza la namba 20 (Token 1) kisha bonyeza alama ya # au

HATUA YA PILI: Ingiza kundi la pili la namba 20 kisha alama ya #au

HATUA YA TATU: Hitimisha kwa kuingiza kundi la tatu ambalo ndio utakuwa umeme ulionunua Baada ya hapo utakuwa umefanikiwa kuboresha mita yako na utapokea kiwango cha umeme ulichonunua.

www.tanesco.co.tz
#MaboreshoLuku
#MitaYakoTunaKaziNayo
 
TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA
View attachment 3074826

Nasubiri zile mita ambazo once ukinunua umeme unaingia direct, lilikuwa wazo la Maharage naona ameondoka nalo. Hii ndio Tanzania, initiator akiondoka na jambo linaondoka!
Kwako TANESCO .......
 
TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA
View attachment 3074826
ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza umeme utapokea token za makundi matatu yenye namba 60. Hivyo, ingiza kundi la kwanza la namba 20 (Token 1) kisha bonyeza alama ya # au

HATUA YA PILI: Ingiza kundi la pili la namba 20 kisha alama ya #au

HATUA YA TATU: Hitimisha kwa kuingiza kundi la tatu ambalo ndio utakuwa umeme ulionunua Baada ya hapo utakuwa umefanikiwa kuboresha mita yako na utapokea kiwango cha umeme ulichonunua.

www.tanesco.co.tz
#MaboreshoLuku
#MitaYakoTunaKaziNayo
Sijakuelewa Bado Tanesco!
 
Back
Top Bottom