Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826

Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8.

Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5.

Orodha ya Mikoa yote inayoongoza kwa Wanawake wanaomilikia Nyumba zao.

1. Mwanza - 37.7%
2. Tanga - 28.8
3. Njombe - 27.3
4. Kagera - 26.3%
5. Iringa - 24.2%
6. Lindi - 24.1%
7. Mtwara - 23.1%
8. Mara - 23%
9. Ruvuma - 21.4%
10. Geita - 20.6%
11. Mbeya - 20.5%
2. Singida - 17.8%
13. Tabora - 17.2%
14. Kilimanjaro - 15.7%
15. Mjini Magharibi - 15.5%
16. Arusha - 15.3%
17. Pwani - 15.3%
18. Songwe - 15.1%
19. Kigoma - 14.5%
20. Pemba Kaskazini - 13.8%
21. Dodoma - 13%
22. Dar es Salaam - 12.6%
23. Shinyanga - 12.1%
24. Unguja Kusini - 12%
25. Morogoro - 11.4%
26. Simiyu - 10.5%
27. Rukwa - 9.8%
28. Unguja Kaskazini - 9.4%
29. Katavi - 7.8%
30. Pemba Kusini - 6.7%
30. 31. Manyara - 3.8%
 
Penye na mwanamke ujue Nyuma yake yuko mwanaume!
 
Tanga usije ukadhani hao wanawake wanajenga wenyewe, Ni mabwege yanayokwenda tanga kikazi na kuingia kichwa kichwa bila kuuliza.
 
Pale mwanza sehemu za nera kuna mta mzima wa wajane walisha fanya ya kwao, pale mwanaume hawezi ku nchi zaidi ya miaka mitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…