EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Na. Waliosoma sio vichwa panziWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Acha uongo yani uwe na uwezo mdogo alafu ufanye kazi kwenye taasisi kubwa nje?Ndiyo inavyokuwa! Siku zote kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Huwezi kumkuta mtoto wa kigogo kwenye shule ya kata akifundisha! Huko utawakuta watoto wa maskini pekee!
Hao mara zote utawakuta kwenye ofisi zenye viyoyozi tu! Hata wawe na ufaulu hafifu kiasi gani!
Namtakia pumziko la milele.
Umasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwaUmaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Ni kweli kabisa mkuu umasikini ni kitu kibaya sana, unaweza kumchukia mtu kisa ana kitu ambacho huna uwezo wa kuwa nacho. Tupambane sana kutoka kwenye umasikini wa kipato.Umasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
Pull up your soxUmasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
R i p Mikola vzr havidumuMtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Mahiga amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Uswis alipokuwa akifanya kazi katika taasisi za kifedha na masoko ya mitaji akiwakilisha nchi kadhaa za Asia na Afrika.
View attachment 2120826
Mikola Mahiga
Chanzo: milad Ayo (Twitter )
Baba yake alikuwa balozi possible kupata sehemu nzuriWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Umaskini ni laana pambanaUmasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
Wengi ni losers tu, we angalia lemutuz na washkaji kibao waliopelekwa ulaya enzi zile… sasa hivi wachovu tu!!Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Alienacho huongezewa baba!!Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Kuna kaukweli flani hivi!!Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.