TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

Wengi ni losers tu, we angalia lemutuz na washkaji kibao waliopelekwa ulaya enzi zile… sasa hivi wachovu tu!!

ILA hao unaowaona wanapata ni Kwa sababu Muda wao kwenye majungu na kulalamika ni Mdogo sana

Sio kama mimi na wewe kutwa kulalama tu
Sijui ni nani kati ya Le Mutuz ama mzazi wake wenye hasara zaidi. Maana kuwa mfano wa kila baya la kufeli kimaisha hasa kwa umri alionao Le Mutuz (50+) si jambo zuri kabisa.
 
Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
nikweli walishafanikiwa kutoka kwenye lile duara la umaskini hawawazi tena usawa katika chakula, mavazi na malazi wako mbali sana na kwakuwa tuliwawezesha wazazi wao na wao wakawezeshwa! sasa unategemea nini kama mzazi wako ni dereva wa bodaboda ukichomoka sana utaishia ukurugenzi wa taasisi na wakati huo una ndugu kibao wanataka uwavute.
 
Wengi ni losers tu, we angalia lemutuz na washkaji kibao waliopelekwa ulaya enzi zile… sasa hivi wachovu tu!!

ILA hao unaowaona wanapata ni Kwa sababu Muda wao kwenye majungu na kulalamika ni Mdogo sana

Sio kama mimi na wewe kutwa kulalama tu
mkuu,le Baharia kaenda Ulaya kwa pesa yake sio ya mzazi hivo basi hakupelekwa, jamaa kapambana sana yule
mimi binafsi namkubali kwa hilo,hakutumia pesa ya baba yake wakati yupo kijana
 
Humu ndani kuna watu wa ajabu sana aisee,hamueleweki kabisa..pambaneni wazee!
 
Ni kweli kabisa mkuu umasikini ni kitu kibaya sana, unaweza kumchukia mtu kisa ana kitu ambacho huna uwezo wa kuwa nacho. Tupambane sana kutoka kwenye umasikini wa kipato.
Nimeendelea kukubaliana nawe, japo, japo fursa za watoto wa wakulima ni kama hazipo japo akili wanazo

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
mkuu,le Baharia kaenda Ulaya kwa pesa yake sio ya mzazi hivo basi hakupelekwa, jamaa kapambana sana yule
mimi binafsi namkubali kwa hilo,hakutumia pesa ya baba yake wakati yupo kijana
Endelea kulishwa Matengo pori

Yule ni mtoto wa mkubwa
 
Back
Top Bottom