MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Elimu wanazopata na ukiongeza na connection, ukishindwa kutoboa ni uzembe wakoWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu wanazopata na ukiongeza na connection, ukishindwa kutoboa ni uzembe wakoWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Mwisho wa siku unaishia kusema "si atakufa ataviacha tuu" 😂😂😂😂😂😂Ni kweli kabisa mkuu umasikini ni kitu kibaya sana, unaweza kumchukia mtu kisa ana kitu ambacho huna uwezo wa kuwa nacho. Tupambane sana kutoka kwenye umasikini wa kipato.
Hapo kwenye neno.umasikini toa weka neno uchawiUmaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Wasomeshe watoto wako vizuri. Wape maadili mema na wayaishi. Haya mengine yote yatawezekana. Mwenyezi Mungu anabariki yoyote anayemtaka, bila sababu zozote kutoka kwetu binadamuWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Kiingereza tu ni kipengele kinachotosha kumtoa mtu kwenye reli . Kikiongezwa Kifaransa ndio kabisaa.Kazi inahitaji mtu aongee Kiingereza na Kifaransa. Nitapewaje mimi wa St. Kayumba Academy?
Poleni wafiwa!
Kazi nzuri nzuri nchi nzuri nzuri 😀😀😀Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Maskini huchukiwa mpaka na jirani yake.Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Kuna wakati nilisikia hata kiswahili hawajui vizuri, R.I.P.Kazi inahitaji mtu aongee Kiingereza na Kifaransa. Nitapewaje mimi wa St. Kayumba Academy?
Poleni wafiwa!
Acha uongo yani uwe na uwezo mdogo alafu ufanye kazi kwenye taasisi kubwa nje?
Utakua jambazi wewe!sumu za panya zipo tele maliza game[emoji12]Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Masikini wanahitaji huruma ya MUNGU na huruma ya waliobarikiwa na MUNGU kifedha. Matajiri wanahitaji huruma ya MUNGU.Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Sijui kama ni sehemu zote lakini kwa wenzetu wameweka sheria zilizo wazi kuwawezesha wanaotaka utajiri kuwa matajiri sio tatizo. Tatizo letu huku matajiri wengi wanapitia njia zinazoumiza au kusababisha umasikini kwa wengine.Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Wenye lugha yenu.....Mzee wa camera ya Samsung Note 8 kuizidi IPhone 13 sio pool up hapo. Tunasema pull up
Alipata nafasi ya kusoma baba akiwa diplomatWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Asante mkuu kwa usahihisho sio lugha yetu tunajitutumuaga tu sometimes tusionekane mafala si unajua kuna pisi kalii humu ndani?😎😎Mzee wa camera ya Samsung Note 8 kuizidi IPhone 13 sio pool up hapo. Tunasema pull up
umeongea maneno mazito sana, tupambane tuukache huu umasikini,few weeks ago nilikuwa na rafiki zangu nikawambia the same thing,niliwambia nataka nipambane watoto wangu waje waishi vizuriUmasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
Na kamwe hautouacha umasikini Kwa kuchukia matajiriUmaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.