TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

Kazi inahitaji mtu aongee Kiingereza na Kifaransa. Nitapewaje mimi wa St. Kayumba Academy?

Poleni wafiwa!
Kuna wakati nilisikia hata kiswahili hawajui vizuri, R.I.P.
Ila baba yao alipigania Sana Nyerere asipinduliwe na akina Hanspope, maana ile operation ya kuwakamata wahaini komando mahiga alipambana Sana. R.I.P
 
Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Sijui kama ni sehemu zote lakini kwa wenzetu wameweka sheria zilizo wazi kuwawezesha wanaotaka utajiri kuwa matajiri sio tatizo. Tatizo letu huku matajiri wengi wanapitia njia zinazoumiza au kusababisha umasikini kwa wengine.

Kibaya zaidi imekuwa on both ways, masikini wanachukia matajiri na matajiri wanachukia masikini! Huwezijua ni jamii ya aina gani itazaliwa humu
 
Umasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
umeongea maneno mazito sana, tupambane tuukache huu umasikini,few weeks ago nilikuwa na rafiki zangu nikawambia the same thing,niliwambia nataka nipambane watoto wangu waje waishi vizuri
 
Tanzania kama Taifa tumepoteza LULU MBILI KWA MPIGO. Dada yetu Mwele na sasa Bin Mahiga. Kikuweli pengo lao kwenye Medani za Kimataifa ni ngumu kuziba na gharama kubwa sana. Naaamini uwepo wao kwenye nafasi zao kwenye Jamii ya kimataifa ilikuwa fursa kwa Vijana wengine kupata Connection kufikia ndoto zao.
Eeeewe Mungu wa Mbinguni Uwape Pumziko la Milele mahala wanapistahili hawa Ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom