TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

Mtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Augustine Mahiga aitwaye Mikola Mahiga amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Geneva, Uswiss alipokuwa akifanya kazi katika Taasisi mbalimbali za Kifedha na Masoko ya Mitaji akiwakilisha nchi kadhaa za Asia na Afrika.

View attachment 2120826
Mikola Mahiga

Chanzo: Milard Ayo (Twitter )
Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
 
Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] unaishi wapi bibie? Ye makazi yalikua Switzerland kama upo huko bahati yako mbaya ila kama upo bongo pambana na sisi sisi wavimba macho.

Sisi ndo tupo [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
Mbele za Mungu hakuna u-handsome Careen,inategemea tu kama ulimpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Otherwise it will be time wasted here on earth.😂😂😂😂😂😂😂.
Be wise,don't waste time, prepare for eternal life.
 
Wengi ni losers tu, we angalia lemutuz na washkaji kibao waliopelekwa ulaya enzi zile… sasa hivi wachovu tu!!

ILA hao unaowaona wanapata ni Kwa sababu Muda wao kwenye majungu na kulalamika ni Mdogo sana… they work hard, study hard and do justice to advantage waliyopewa na Mungu

Sio kama mimi na wewe kutwa kulalama tu
una akili sana mkuu.....hata wa toto maskini hawanaga akili
Mtu kapambana kivyake...kapata kivyake siyo baba yake.tena hao ndo baba zao wanakuwaga wanoko kweli...ole wako baba huyo akukute mezani unakula mbwa hawajala..utamjua.....vibarua wa mafundi kwa nyumba zake ni watoto wake ukirudi shule unapitiliza kwa mafundi hkn cha weekend ni msoto tuuuu!! Kwa nini usisome?? Uepuke adha hiyo???
Watoto wa maskini wana raha sana..
 
Back
Top Bottom