RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Connection muhimu😀😀
MuWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MuWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Tulikubaliana kazi nzuri ni za kujiajiri. Huyo alikuwa mganga njaa kama waganga njaa wengine tuWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Alitisua sanaRIP Mahiga Jr.
Duuuh ila alitisua maisha mweeh.
Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!Mtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Augustine Mahiga aitwaye Mikola Mahiga amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Geneva, Uswiss alipokuwa akifanya kazi katika Taasisi mbalimbali za Kifedha na Masoko ya Mitaji akiwakilisha nchi kadhaa za Asia na Afrika.
View attachment 2120826
Mikola Mahiga
Chanzo: Milard Ayo (Twitter )
Connections mkuu,maskini walie tu,ndio ukweli mchungu.Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Vinadumu Kama ukishirikisha maswala ya kirohoR i p Mikola vzr havidumu
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] unaishi wapi bibie? Ye makazi yalikua Switzerland kama upo huko bahati yako mbaya ila kama upo bongo pambana na sisi sisi wavimba macho.Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
ukute ungekutana nae ungemzingua !!! wanawake hamtabirikiDah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
Mbele za Mungu hakuna u-handsome Careen,inategemea tu kama ulimpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Otherwise it will be time wasted here on earth.😂😂😂😂😂😂😂.Dah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
Somehow nakuelewa.Matajiri mara nyingi wanaonea maskini sana.Infact umaskini upo kwa sababu ya ugawanyaji mbovu na wa hila wa rasilimali za dunia.Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Mafia uswisi ndo nini nawewe nawe au una type huku unahara??!;;Duh huyu jamaa ana BAHATI SANA, Yaani Mafia Uswisi!!
Mihogo iko kila sehemu uchaguz ni wakoDah! Alikua handsome kwel yaan!! Cjui kwanini sijawahi kukutana naye! Eeh Mungu baba wa mbiguni namuombea handsome huyu umuweke mahala pema peponi!!
Yes alikula sana kuku kwa mrija. [emoji23][emoji23][emoji23]Alitisua sana
una akili sana mkuu.....hata wa toto maskini hawanaga akiliWengi ni losers tu, we angalia lemutuz na washkaji kibao waliopelekwa ulaya enzi zile… sasa hivi wachovu tu!!
ILA hao unaowaona wanapata ni Kwa sababu Muda wao kwenye majungu na kulalamika ni Mdogo sana… they work hard, study hard and do justice to advantage waliyopewa na Mungu
Sio kama mimi na wewe kutwa kulalama tu
Tatizo mahandsome adimu sana yaanMihogo iko kila sehemu uchaguz ni wako
Pia wamesoma vizuriWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Mi namuombea tu huruma ya MunguMbele za Mungu hakuna u-handsome,inategemea tu kama ulimpokea Bwana Yesu kuwa Bwana wa maisha yak😵therwise it is time wasted.