Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
mifupa yake....mwili wake bado utapeta kwenye marumaru tu....ambazo wewe huna mpaka leo na huzijui kwanza...ebu nambie marumaru ni nini?? .....ungezijua usingetamka mwili wake kuoza kirahisi na kuwa udongo ...hata usemeje hutafikia hadhi ya hayo maziko...ukoo wako mzima....ajabu sasa huyu utamkuta mbinguni yupo huki.....sababu ya chuki zako utarudi ukidhani umekosea..kuuumbe ndo mahali sahihi chuki zitafanya upotee. Haya weee kazana.Hata warembe vipi lazima uoze ubaki fuvu,mifupa ioze ubabiki udongo