TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

Mbona nyie watoto wenu wanafanya vizuri kwenye Michezo!! Jikiteni mliko Bora, mwisho maisha ni mapambano ya angle mbalimbali
Ni kweli kabisa..ila michezo na burudani kwa bongo hii..ni wachache sana wanao toboa kihalali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona wapo Tena wengi hao wasomi na matajiri lakini Ni washirikina mbaya mbaya.. ...

Kuna familia Fulani maarufu kwa uongozi hapo dar.. .. wanakwenda Pemba Tena Wana wazee maalum wanawalipa kwa kazi hiyo tu.. ..

Kila mwezi kunachinjwa!
 
Kifo pekee hutufananisha
Apumzike kwa Utulivu
kifo thubutu....ardhi anayo lala yule na wewe ni tofauti...yeye ana lalia marumaru za umeme...anateremshwa ardhini kwa mashine ya vyuma maalum tena kimya na nyimbo lainiii za kumsifu Mungu na harufu ya maua mazuriiii inatiririka kaburini....ardhini kule sasa roho yake inaweza tembelea huko.then ikarudi paradiso... Huyu kufuru haikuwepo zaidi alishukuru tu kila leo kwa jinsi alivopendelewa na Mungu kwa sababuhuyo Mungu alisema mwenye nacho huongezewa........safi sana kaka mkubwa kufa kwa amani ya bwana. Wewe hujiulizi kafa lkn anawacheka mlio hai jehanamu Ya Bongo mara muwe na gu rais km jiwe..eti mnaogopa kufa??? Yaani ni bora ufe kuliko serikali ya magu....hata yeye kajigutukia kafa tena simple na waziwazi. Hakushindwa kujitibia pazuri yule ...ila kwa jinsi alivo ua hee! aliamua afe tu yaishe.....ajabu waliomfuata wanaogopa kufa.
 
Hata warembe vipi lazima uoze ubaki fuvu,mifupa ioze ubabiki udongo
 
Back
Top Bottom