TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

Kwa hiyo nchi za Afrika na Asia zimemtuma huyu kijana akawauzie na kununua hisa kwenye soko la dunia Geneva….

Okay, facts are stranger than fiction, I am not gonna say anything

Apumzike kwa amani
 
Hizo ni kazi za class c citizen..sio za watawala..sasa kwa akili yako h.mwinyi bila jeck ya policcm angekuwepo hapo.

#MaendeleoHayanaChama
Kumbe huna akili...yaani we unamuona Mwinyi wa kawaida....?
Je unajua kwamba mtoto mmoja wa Jakaya ni daktari?
Niendelee?

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Utakuwa unakosea sana. Sio kila tajiri, ameupata utajiri wake kwa kuwadhulumu/kuwaibia masikini. Wapo matajiri ambao walikuwa masikini kabisa, ila jitihada zao na ku-hustle kwao kukawafanya wawe matajiri. Angalia Diamond na Harmonize.

Na wapo masikini ambao style yao ya maisha ndiyo iliyosaababisha wawe masikini. Ni walevi, wavivu etc.

Usimhurumie masikini kwa ajili ya umasikini wake. Wapo masikini ambao inabidi watandikwe viboko. Unakuta, wengine wanaamka asubuhi kwenda Shamba, shule, masokoni etc..yeye ndio kwaaanza anavuta shuka vizuri au anaamka kwenda katika pombe au katika kijiwe cha kahawa..siku ya mwisho unasema, namhurumia masikini na ninamchukia tajiri.

Masikini anaetakiwa kuhurumiwa ni yule anae-struggle na Mungu kwa mipango yake hajamfungulia riziki kubwa. Na tajiri anaetakiwa kupondwa ni yule aliyeiba/dhulumu..ila aliyeupata kwa jasho yafaa apongezwe
 
Umaskini ni laana pambana
Mtume Muhammad (SAW) anatufundisha kuwa:- Umasikini ni nusu ya ukafiri na Utajiri pia ni nusu ya ukafiri.

Kwa nini anasema hivyo? Ni kwamba,

1. UMASKINI ni nusu ya ukafiri kwa sababu unaweza kuleta yafuatayo:-
-Ushirikina
-Inda/dhana mbaya
-Usengenyaji
-tamaa

2. UTAJIRI nao ni nusu ya ufukara kwa kuwa kunaweza kupelekea yafuatayo:-
-Dharau/kibri
-kufuru
-Kumsahau Allah
 
Jamaa wajanja sana..hawataki masikini waelimike..sasa kiswahili kitakupa exposure gani zaidi ya kuzunguka nchi za east afrika tu.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona nyie watoto wenu wanafanya vizuri kwenye Michezo!! Jikiteni mliko Bora, mwisho maisha ni mapambano ya angle mbalimbali
 
Ndiyo inavyokuwa! Siku zote kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Huwezi kumkuta mtoto wa kigogo kwenye shule ya kata akifundisha! Huko utawakuta watoto wa maskini pekee!

Hao mara zote utawakuta kwenye ofisi zenye viyoyozi tu! Hata wawe na ufaulu hafifu kiasi gani!

Namtakia pumziko la milele.
Konekisheni bwashee
 
Mtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Augustine Mahiga aitwaye Mikola Mahiga, maarufu kama "Mike" amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Geneva, Uswiss alipokuwa akifanya kazi katika Taasisi mbalimbali za Kifedha na Masoko ya Mitaji akiwakilisha nchi kadhaa za Asia na Afrika.

View attachment 2120826
Mikola Mahiga

Chanzo: Milard Ayo (Twitter )
Hawa ni wale kabla hawajamaliza shule tayari kazi washapata.
R.i.p mahiga.
 
Utakuwa unakosea sana. Sio kila tajiri, ameupata utajiri wake kwa kuwadhulumu/kuwaibia masikini. Wapo matajiri ambao walikuwa masikini kabisa, ila jitihada zao na ku-hustle kwao kukawafanya wawe matajiri. Angalia Diamond na Harmonize.

Na wapo masikini ambao style yao ya maisha ndiyo iliyosaababisha wawe masikini. Ni walevi, wavivu etc.

Usimhurumie masikini kwa ajili ya umasikini wake. Wapo masikini ambao inabidi watandikwe viboko. Unakuta, wengine wanaamka asubuhi kwenda Shamba, shule, masokoni etc..yeye ndio kwaaanza anavuta shuka vizuri au anaamka kwenda katika pombe au katika kijiwe cha kahawa..siku ya mwisho unasema, namhurumia masikini na ninamchukia tajiri.

Masikini anaetakiwa kuhurumiwa ni yule anae-struggle na Mungu kwa mipango yake hajamfungulia riziki kubwa. Na tajiri anaetakiwa kupondwa ni yule aliyeiba/dhulumu..ila aliyeupata kwa jasho yafaa apongezwe
Nimejifunza kitu kutoka kwako kwa comment hii, naichukua kama somo mkuu bila kufuta hata neno.
 
Ndiyo inavyokuwa! Siku zote kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Huwezi kumkuta mtoto wa kigogo kwenye shule ya kata akifundisha! Huko utawakuta watoto wa maskini pekee!

Hao mara zote utawakuta kwenye ofisi zenye viyoyozi tu! Hata wawe na ufaulu hafifu kiasi gani!

Namtakia pumziko la milele.
Badilisheni uongozi wa nchi ..ondoeni chama tawala ndio njia rahisi ya kugawana keki hii...mkuu sasa hivi utakuwa Mkurungenzi wa Jiji fulani hivi..Yaani hakuna kitu kinaniuma kama kuona eti Baba kiongozi wa nchi anastaafu arafu mwanae anapewa nchi na mbaya zaidi kichwani .....aiseee no comment ..achilia nduggu wengine walioshika nafasi z ubunge n.k
 
Back
Top Bottom