cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umeandika kwa chuki sana, kwani we ni tajiri?
Usinikasirikie mimi sio mbaya wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umeandika kwa chuki sana, kwani we ni tajiri?
Usinikasirikie mimi sio mbaya wako
Ok.Mbona umeandika kwa chuki sana, kwani we ni tajiri?
Usinikasirikie mimi sio mbaya wako
No, anasema every soul shall taste death.Are you in the process to detonate?
Chuki ya nn?Acha uongo yani uwe na uwezo mdogo alafu ufanye kazi kwenye taasisi kubwa nje?
Kumbe huna akili...yaani we unamuona Mwinyi wa kawaida....?Hizo ni kazi za class c citizen..sio za watawala..sasa kwa akili yako h.mwinyi bila jeck ya policcm angekuwepo hapo.
#MaendeleoHayanaChama
Utakuwa unakosea sana. Sio kila tajiri, ameupata utajiri wake kwa kuwadhulumu/kuwaibia masikini. Wapo matajiri ambao walikuwa masikini kabisa, ila jitihada zao na ku-hustle kwao kukawafanya wawe matajiri. Angalia Diamond na Harmonize.Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Halafu Wakifa tu Watanzania wote tunalazimishwa tuhuzunike na Familia zao na tuwalilie mpaka pale Watakapozikwa.Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Mtume Muhammad (SAW) anatufundisha kuwa:- Umasikini ni nusu ya ukafiri na Utajiri pia ni nusu ya ukafiri.Umaskini ni laana pambana
Duh m huwa nafurahi kwa kweliHalafu Wakifa tu Watanzania wote tunalazimishwa tuhuzunike na Familia zao na tuwalilie mpaka pale Watakapozikwa.
Mawivu tu yasiyoisha, wakiwa wabunge hivyohivyo!! Hata sifa zao hamuangaliiWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Mbona nyie watoto wenu wanafanya vizuri kwenye Michezo!! Jikiteni mliko Bora, mwisho maisha ni mapambano ya angle mbalimbaliJamaa wajanja sana..hawataki masikini waelimike..sasa kiswahili kitakupa exposure gani zaidi ya kuzunguka nchi za east afrika tu.
#MaendeleoHayanaChama
Wanawekewa misingi na nafasi za baba zao.Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Mawazo yako yamevuka mataa kadhaaWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Konekisheni bwasheeNdiyo inavyokuwa! Siku zote kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Huwezi kumkuta mtoto wa kigogo kwenye shule ya kata akifundisha! Huko utawakuta watoto wa maskini pekee!
Hao mara zote utawakuta kwenye ofisi zenye viyoyozi tu! Hata wawe na ufaulu hafifu kiasi gani!
Namtakia pumziko la milele.
Hawa ni wale kabla hawajamaliza shule tayari kazi washapata.Mtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Augustine Mahiga aitwaye Mikola Mahiga, maarufu kama "Mike" amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Geneva, Uswiss alipokuwa akifanya kazi katika Taasisi mbalimbali za Kifedha na Masoko ya Mitaji akiwakilisha nchi kadhaa za Asia na Afrika.
View attachment 2120826
Mikola Mahiga
Chanzo: Milard Ayo (Twitter )
Utafanikiwa tuu,usikate tamaa.Umasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
Nimejifunza kitu kutoka kwako kwa comment hii, naichukua kama somo mkuu bila kufuta hata neno.Utakuwa unakosea sana. Sio kila tajiri, ameupata utajiri wake kwa kuwadhulumu/kuwaibia masikini. Wapo matajiri ambao walikuwa masikini kabisa, ila jitihada zao na ku-hustle kwao kukawafanya wawe matajiri. Angalia Diamond na Harmonize.
Na wapo masikini ambao style yao ya maisha ndiyo iliyosaababisha wawe masikini. Ni walevi, wavivu etc.
Usimhurumie masikini kwa ajili ya umasikini wake. Wapo masikini ambao inabidi watandikwe viboko. Unakuta, wengine wanaamka asubuhi kwenda Shamba, shule, masokoni etc..yeye ndio kwaaanza anavuta shuka vizuri au anaamka kwenda katika pombe au katika kijiwe cha kahawa..siku ya mwisho unasema, namhurumia masikini na ninamchukia tajiri.
Masikini anaetakiwa kuhurumiwa ni yule anae-struggle na Mungu kwa mipango yake hajamfungulia riziki kubwa. Na tajiri anaetakiwa kupondwa ni yule aliyeiba/dhulumu..ila aliyeupata kwa jasho yafaa apongezwe
Badilisheni uongozi wa nchi ..ondoeni chama tawala ndio njia rahisi ya kugawana keki hii...mkuu sasa hivi utakuwa Mkurungenzi wa Jiji fulani hivi..Yaani hakuna kitu kinaniuma kama kuona eti Baba kiongozi wa nchi anastaafu arafu mwanae anapewa nchi na mbaya zaidi kichwani .....aiseee no comment ..achilia nduggu wengine walioshika nafasi z ubunge n.kNdiyo inavyokuwa! Siku zote kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Huwezi kumkuta mtoto wa kigogo kwenye shule ya kata akifundisha! Huko utawakuta watoto wa maskini pekee!
Hao mara zote utawakuta kwenye ofisi zenye viyoyozi tu! Hata wawe na ufaulu hafifu kiasi gani!
Namtakia pumziko la milele.