Mikono juu kama kila Komenti Unaona cc: Mahondaw

Mikono juu kama kila Komenti Unaona cc: Mahondaw

Angalau sasa nimepata mwanga kwann basi unakuwa Tagged all the time! Thanks!
Acha kuchagiza watu

Cc Smart911
Screenshot_2018-05-20-21-03-54.jpg
 
Wanajamvi Habariiiiiiii....

Nadhan sio mim tu jaman! yaaan koment nying humu jukwaan utaona mwishon mtu anamtag Mahondaw yaaaan cc: Mahondaw

Wenye ufaham naomba mnijuze kidogo huyu Mahondaw ndo nani?! Ili nasi tupate kumjua au kuelewa maana ya yeye kuwa tagged kwa komenti mbalimbali!

Nawasilisha!
Embu kalale kwanza ukizinduka akili itakukaa sawa
 
Mleta mada hata kuandika matured wakati anasign up jf alishindwa akaandika utumbo kama username
 
Back
Top Bottom