Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima nitishe mkuu, maana pele lmepata mkunaji.... tehteehhhhahaaa mkuu umetisha
Ndoivyo mkuu, maana mgumba akipata ujauzito basi ujue mtaa mzima lazima ujae mate.... tehteehhhdaah hii misemo ..kuntu!!!
Embu kalale kwanza ukizinduka akili itakukaa sawaWanajamvi Habariiiiiiii....
Nadhan sio mim tu jaman! yaaan koment nying humu jukwaan utaona mwishon mtu anamtag Mahondaw yaaaan cc: Mahondaw
Wenye ufaham naomba mnijuze kidogo huyu Mahondaw ndo nani?! Ili nasi tupate kumjua au kuelewa maana ya yeye kuwa tagged kwa komenti mbalimbali!
Nawasilisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uyo ndo mmiliki wa JF mkuu