Mikono yako ni lango la baraka zako, ichunge sana mikono yako

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mikono yako ni lango eidha la kupitisha baraka au la kupitisha laana kwenye maisha yako.

Tunapata utajiri kupitia mikono, tunapata afya kupitia mikono, tunapata umasikini kupitia mikono na tunapata magonjwa kupitia miko.

Tuichunge mikono yetu kwa kuiombea, kuinawisha kwa maji ya upako/ ya baraka tuliyoyatengeneza wenyewe nyumbani na hata yale ya kwenye nyumba za ibada.

Tuipake mikono yetu mafuta ya mzeituni. Mafuta ya mzeituni yanaikinga mikono dhidi ya negative energies.

Pia mikono yetu lazima tuifanyie massage huku tukisema "kupitia massage hii, mikono pokea nguvu ya kuleta utajiri wangu, mikono pokea nguvu ya kuimarisha afya yangu nk"
 
Wosia wa babu
Mbegu zako ni uhai wa mtu mwingine ambaye alitakiwa awe mtoto wako.
Unapokatisha uhai wake kwa kupiga puli unakuwa umekatisha uzao wake.

Huyo mtoto angezaliwa angekuwa na tija kwa taifa na namna moja ama nyingine, lakini wewe unakuwa umemuua.

Kanuni ya Karma inasema unachofanya ndicho kinachokurudia. Hivyo basi tegemea mauti kwenye ustawi wako, mauti kwenye uchumi wako, mauti kwenye afya yako na mauti itakuandama kwenye mambo yako mengi ndio maana wanaopiga puli nguvu zao za kiume hufa wakiwa bado vijana wadogo.
Hapa kwenye karma Pascal Mayalla atakusaidia kukupa elimu zaidi
 
Kanuni ya Karma inasema unachofanya ndicho kinachokurudia. Hivyo basi tegemea mauti kwenye ustawi wako, mauti kwenye uchumi wako, mauti kwenye afya yako na mauti itakuandama kwenye mambo yako mengi ndio maana wanaopiga puli nguvu zao za kiume hufa wakiwa bado vijana wadogo
We mzee hapo kwenye mikono na baraka tumekuelewa sana lakini sasa unapoanza kuingilia kuwa msemaji wa vyama vya watu halafu wewe sio msemaji sisi kama wanachama hatupendi hilo swala la kuongea uongo kwenye chama hebu acha mara moja.
 
Mungu itakase mikono yangu. Mikono yangu isiniletee mabalaaa na majuto.
Mungu ibariki mikono yangu, miko yangu iwe na nguvu ya kuhudumia watu wa nyumbani kwangu na jamii yangu kwa ujumla.
Mikono yangu ikafukuze njaa na umasikini na magonjwa.
Mikono yangu ikawe hodari
 
We mzee hapo kwenye mikono na baraka tumekuelewa sana lakini sasa unapoanza kuingilia kuwa msemaji wa vyama vya watu halafu wewe sio msemaji sisi kama wanachama hatupendi hilo swala la kuongea uongo kwenye chama hebu acha mara moja.
Vyama vya kuharibiana maisha. Jitoe kwenye mtandao huo
 
Mbegu zako ni uhai wa mtu mwingine ambaye alitakiwa awe mtoto wako.
Unapokatisha uhai wake kwa kupiga puli unakuwa umekatisha uzao wake.

Huyo mtoto angezaliwa angekuwa na tija kwa taifa na namna moja ama nyingine, lakini wewe unakuwa umemuua.

Kanuni ya Karma inasema unachofanya ndicho kinachokurudia. Hivyo basi tegemea mauti kwenye ustawi wako, mauti kwenye uchumi wako, mauti kwenye afya yako na mauti itakuandama kwenye mambo yako mengi ndio maana wanaopiga puli nguvu zao za kiume hufa wakiwa bado vijana wadogo.
Hapa kwenye karma Pascal Mayalla atakusaidia kukupa elimu zaidi
Vipi kuhusu wale wa vaa condom?
 
Back
Top Bottom