Mikono yako ni lango la baraka zako, ichunge sana mikono yako

Mikono yako ni lango la baraka zako, ichunge sana mikono yako

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mikono yako ni lango eidha la kupitisha baraka au la kupitisha laana kwenye maisha yako.

Tunapata utajiri kupitia mikono, tunapata afya kupitia mikono, tunapata umasikini kupitia mikono na tunapata magonjwa kupitia miko.


Tuichunge mikono yetu kwa kuiombea, kuinawisha kwa maji ya upako/ ya baraka tuliyoyatengeneza wenyewe nyumbani na hata yale ya kwenye nyumba za ibada.

Tuipake mikono yetu mafuta ya mzeituni. Mafuta ya mzeituni yanaikinga mikono dhidi ya negative energies.

Pia mikono yetu lazima tuifanyie massage huku tukisema "kupitia massage hii, mikono pokea nguvu ya kuleta utajiri wangu, mikono pokea nguvu ya kuimarisha afya yangu nk"
Hili somo nilifundishwa Jana ila nimesahau notice zake aisee

Nakumbuka niliambiwa ukisema 'Mungu bariki kazi ya mikono yangu' haimaanishi mikono km mikono la hasha
 
Back
Top Bottom