Mikono yako ni lango la baraka zako, ichunge sana mikono yako

Mikono yako ni lango la baraka zako, ichunge sana mikono yako

Kumbuka kuna watu hawana mikono physical ila wamebarikiwa sana..

Niliambiwa mikono ni kile kiungo chako chochote kinachowezesha utendaji wako wa kazi na ukafanikiwa sio lazima iwe mikono km mikono physical

Mfano:

Kuna wanaocheza mpira wa miguu wale pale wanatumia miguu kufanikisha kazi zao sio kwa mikono na wamebarikiwa wakafanikiwa kupitia miguu yao
 
...Inamaanisha nini ?....
Nimeshaeleza hapo juu

Mfano:

Wapo wanaotumia mdomo na ulimi km waimbaji au watangazaji hapo mkono wao unakua ni mdomo na ulimi ndio unawawezesha kuwaingizia kipato na kuwaletea mafanikio ikiwa wakautumia vibaya mdomo na ulimi wao basi baraka zote hupotea

Hapo nazungumzia msemo usemao 'Mungu bariki kazi za mikono yangu'

Hivyo ndivyo ninavyokumbuka hilo somo la Jana
 
Mafundisho ya kishetani haya ila basi tu kwa kua binadamu wa Leo ni wabishi sana
 
Back
Top Bottom