Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
YapAsee...
Lazima tuwarithisheni vijana wetu madini
Acha mara mojaUnawazungumziaje wapiga puli
Mbegu zako ni uhai wa mtu mwingine ambaye alitakiwa awe mtoto wako.Wosia wa babu
We mzee hapo kwenye mikono na baraka tumekuelewa sana lakini sasa unapoanza kuingilia kuwa msemaji wa vyama vya watu halafu wewe sio msemaji sisi kama wanachama hatupendi hilo swala la kuongea uongo kwenye chama hebu acha mara moja.Mbegu zako ni uhai wa mtu mwingine ambaye alitakiwa awe mtoto wako.
Unapokatisha uhai wake kwa kupiga puli unakuwa umekatisha uzao wake.
Huyo mtoto angezaliwa angekuwa na tija kwa taifa na namna moja ama nyingine, lakini wewe unakuwa umemuua.
Kanuni ya Karma inasema unachofanya ndicho kinachokurudia. Hivyo basi tegemea mauti kwenye ustawi wako, mauti kwenye uchumi wako, mauti kwenye afya yako na mauti itakuandama kwenye mambo yako mengi ndio maana wanaopiga puli nguvu zao za kiume hufa wakiwa bado vijana wadogo
Mnawaza ufirauni tuAah wengine wakishapaka mafuta mkononi kazi inakua ni moja tu.........
Vyama vya kuharibiana maisha. Jitoe kwenye mtandao huoWe mzee hapo kwenye mikono na baraka tumekuelewa sana lakini sasa unapoanza kuingilia kuwa msemaji wa vyama vya watu halafu wewe sio msemaji sisi kama wanachama hatupendi hilo swala la kuongea uongo kwenye chama hebu acha mara moja.
Waambie vijana hawaNdaga Wa kwa Mwamposa.
Hata watu wa kwa malkia wanashika vile viposhi vidogo vidogo kwa mikono miwili, lengo kuu ni kuhakikisha mkono hautoki kwenye poshi na kugusa chochote.
Huku kwetu mmmh
Balaa juu ya balaaAah wengine wakishapaka mafuta mkononi kazi inakua ni moja tu.........
Utu uzima dawaWosia wa babu
Wakwanza weweMnawaza ufirauni tu
Vipi kuhusu wale wa vaa condom?Mbegu zako ni uhai wa mtu mwingine ambaye alitakiwa awe mtoto wako.
Unapokatisha uhai wake kwa kupiga puli unakuwa umekatisha uzao wake.
Huyo mtoto angezaliwa angekuwa na tija kwa taifa na namna moja ama nyingine, lakini wewe unakuwa umemuua.
Kanuni ya Karma inasema unachofanya ndicho kinachokurudia. Hivyo basi tegemea mauti kwenye ustawi wako, mauti kwenye uchumi wako, mauti kwenye afya yako na mauti itakuandama kwenye mambo yako mengi ndio maana wanaopiga puli nguvu zao za kiume hufa wakiwa bado vijana wadogo.
Hapa kwenye karma Pascal Mayalla atakusaidia kukupa elimu zaidi