Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

serious SACCOS hawana riba??mi nadhanigi huko ndo balaa
Riba wanazo ila hazifanani na za mabenki ya kibiashara.Mkopo wa benki ukipewa mil10 kwa miaka 5 utaambiwa unarudisha mil 18 plus huko,wakati mkopo huo huo kwa saccos utarejesha mil13 Tafuta saccos iliyo strong ukiwa na vigezo unapewa mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…