Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kama wewe ni mfanyabiashara, ingia Nmb uchukue mkopo wa Fanikiwa ambao hutolewa kwa wafanyabiashara wachanga. Bahati mbaya hauzidi milioni 5! Na riba yake haizidi laki 4 kwa mwaka.Wakuu swali hili nimeuliza mara kibao na Hamniambiii……Na ilihali mnajua
Semeni bas
NB:KUFICHA TAARIFA MUHIMU SI UTU
NB: vigezo na masharti huzingatiwa. Hivyo fika benki ukapate maelezo sahihi.