Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

Sisi mbona hakina riba jamani, yani unakopa m 1 unarudisha m 1 unakopa m10 unarudisha m10 kamiliii.
Mnapataje faida? Au hizo 3yrs ukivunja unavunja na hisa zako hizo hizo ulizoweka?
Pesa mnaipandishaje thamani?
 
Kununua hisa Ili uwe mwanachama ni sawa ugomvi wangu upo kwenye kuweka akiba kubwa Ili upate mkopo mkubwa.

Kwa style hiyo saccos huwezi pata hela ya maana. Unapata vihela vya kubadilisha mboga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha janjajanja weka hela upate hela, hawataki watu ambao watakimbia na hela, utaratibu wa VICOBA ninauelewa sana
 
Mnapataje faida? Au hizo 3yrs ukivunja unavunja na hisa zako hizo hizo ulizoweka?
Pesa mnaipandishaje thamani?

Kwanza lengo kusaidiana sio kupata faida.

Pili mapato hutokana na fines tu za vikao na faini 10% ya kuchelewesha hisa na marejesho.

Faida kwa wanachama ni mikopo isio na riba, savings ila pia kuna 10% amana ambayo utaipata mwisho baada ya kumaliza marejesho (amana huwa atutoi unapoomba mkopo). Ni hivi tu.

Bila shaka umeelewa
 
mi nimeelewa naomba unipe no nijiunge huko ndo kwenyewe
 
Back
Top Bottom