Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

Riba wanazo ila hazifanani na za mabenki ya kibiashara.Mkopo wa benki ukipewa mil10 kwa miaka 5 utaambiwa unarudisha mil 18 plus huko,wakati mkopo huo huo kwa saccos utarejesha mil13 Tafuta saccos iliyo strong ukiwa na vigezo unapewa mzigo
Sacos unakopa kutokana na unavyochangia mzee

In
 
Sasa mnapataje faida bila riba 😃
Lengo la kuunda kikoba sio kufaidika/kibiashara lengo ni kusaidiana.

Mapato huwa ni faini za vikao, faini za kuchelewa kuweka hisa, faini za kuchelewesha marejesho. Ambazo ni 10% ( hisa na marejesho)

Wanachama tunafaidika na mikopo hiyo isiokua na riba, pia kufanya savings.
 
Back
Top Bottom