Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Watu wapondaga sana vicoba ila mi nawacheki tu na kucheka kisukuma.
Kikoba chetu unakopa hadi mil 30 riba ni asilimia sifuri....sisemi sana.
Ingia tu bank, kama ni mtumishi tafuta koneksheni ya ile mikopo ya watumishi make wanajipaga huko huko jikoni