wakuu hapa mliokwisha kuchangia uzi huu tangu mwanzo ni kwel kabsa mtakua na uzoefu na maisha ya hapo udom tunaomba mtufahamishe na ss wadogo zenu tulochaguliwa kusoma hapo ntakua na maswal kdg tu
1.mkopo tunatakiwa tuombe au tutapewa tu bila kuomba?
2.fom za kujiunga znapatkana wap?
3.mahitaj muhimu wakat wa masomo ni yapi?
4.ni kwel kwamba bila kuomba mkopo haupati?
5.kuna wale ambao tupo mbali na shule zetu hivyo kupelekea kutokua na cheti cha matokeo(result slip) watakubal kutupokea?
ni hayo tu wakuu msaada plz!!!