Isack B
Member
- Aug 21, 2014
- 73
- 13
ntakuchekia kakah!
Poa, nasubiri jibu mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntakuchekia kakah!
Masomo yameshaanza ama bado!? Na kama yameanza kuna jumla ya masomo mangapi na unaweza kunitajia kwa majina yake!?
Kwani waliokosa waliochaguliwa kujiunga na degree sio WATANZANIA?
.
usijifariji sana kijana!
maana unaanza kujijibu.
wakuu hapa mliokwisha kuchangia uzi huu tangu mwanzo ni kwel kabsa mtakua na uzoefu na maisha ya hapo udom tunaomba mtufahamishe na ss wadogo zenu tulochaguliwa kusoma hapo ntakua na maswal kdg tu
1.mkopo tunatakiwa tuombe au tutapewa tu bila kuomba?
2.fom za kujiunga znapatkana wap?
3.mahitaj muhimu wakat wa masomo ni yapi?
4.ni kwel kwamba bila kuomba mkopo haupati?
5.kuna wale ambao tupo mbali na shule zetu hivyo kupelekea kutokua na cheti cha matokeo(result slip) watakubal kutupokea?
ni hayo tu wakuu msaada plz!!!
Mkuu kuhusu boom tunapewa shiling ngap na tunapewa kwa njia gani na joining instruction tunazipata wap