Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

Masomo yameshaanza ama bado!? Na kama yameanza kuna jumla ya masomo mangapi na unaweza kunitajia kwa majina yake!?

jna lako cjaliona kakah... ...ila kama uliapply lazma upate... ..kama hujaapply form znatolewa chuo unaapply znapelekwa board na chuo .....kwa hii program mkopo ni lazmah
 
i was very suprised kuona watoto wadogo kama wale wanapewa mkopo, ila thanks to tz government
 
wakuu hapa mliokwisha kuchangia uzi huu tangu mwanzo ni kwel kabsa mtakua na uzoefu na maisha ya hapo udom tunaomba mtufahamishe na ss wadogo zenu tulochaguliwa kusoma hapo ntakua na maswal kdg tu
1.mkopo tunatakiwa tuombe au tutapewa tu bila kuomba?

2.fom za kujiunga znapatkana wap?

3.mahitaj muhimu wakat wa masomo ni yapi?

4.ni kwel kwamba bila kuomba mkopo haupati?

ni hayo tu wakuu msaada plz!!!
 
5.kuna wale ambao tupo mbali na shule zetu hivyo kupelekea kutokua na cheti cha matokeo(result slip) watakubal kutupokea?

Mkopo ni lazima uombe tena mapema bila hivyo hutopata.. nafikiri result slip zitakubaliwa kwasababu mwaka jana zilikubaliwa, form huwa zinapatikana kwenye website ya Udom (www.udom.ac.tz) ila bado hazijatoka kwa sasa, mahitaji muhimu ni kwenda na fedha za kujikimu kwasababu chakula unajitegemea mwenyewe na mkopo huchukua si chini ya wiki tatu mpaka kuingizwa kwenye akaunti. Mahitaji mengine ni ya kawaida tu kama vile vindoo, mashuka, calculator n.k Lakini mahitaji mengine muhimu hutolewa kwenye Form za kujiunga. Ni vyema kutembelea website ya Udom mara kwa mara.
Cheki Maelekezo yanayohusu mkopo
 
mkuu na wale form four waliochaguliwa kwenda diploma of education mwaka huu 2015/2016 vp kuhusu mkopo wana omba au wanapewa tu,tusaidiane kwa anayejua !!!!!!!
 
hakuna anaekosa kwa aliye chaguliwa hii diploma maalumu...
mkuu unamaanisha hata tusipoomba tutapata tu? halaf mkuu ingekua vyema ukanipa mawasiliano yako make nina mambo mengi nataka kufahamishwa
 
sawa sawa mkuu ina maana kwa diploma maalumu mfano mm nic angaike kutafuta ma form yao ya mkopo au co ?
 
Unajua wakuu inabid tu uombe ht kam wakitupa wote haitakuwa na shida
Je, mfano wasipotoa!? Hauoni itakuwa na faida kwa walioomba mkopo !!!!
 
Mkuu kuhusu boom tunapewa shiling ngap na tunapewa kwa njia gani na joining instruction tunazipata wap
 
Mkuu kuhusu boom tunapewa shiling ngap na tunapewa kwa njia gani na joining instruction tunazipata wap

Joining utaipata kwenye website ya chuo...www.udom.ac.tz ila bado mapema sana anza kutembelea kuanzia mwezi Wa 8 mwishoni, maana chuo ni mwezi Wa 11 yawezekana ikawa wiki ya pili. Pia Kuhusu bum huwa kuna maelekezo yanatolewa kwahyo kuna option mbili ambazi naona walitumia. Kuna ambao waliomba hiyo mikopo wakiwa nyumban na ambao walienda kuomba wakiwa chuoni. NB: ni vyema tu ukaomba ukiwa nyumbani kama itahitajika. Kuhusu kiwango cha pesa ya kujikimu sio zaidi ya laki tatu na na sabini elfu kama sijakosea kwa miezi miwili.
 
Naombeni mnisaidie jmn et mkopo wanatoa kila baada ya miezi mingap au ndo mpaka mwakan tena
 
Back
Top Bottom