Mikopo kwa njia ya simu kilio kipya kwa Watanzania

Hapo hata mimi silipi..😂😂😂.
Na wana matusi haoo!!!
 
Hyo benk ni CRDB,,ndo wana huo upumbavu wa kuzuia mikopo..niliwawashia moto wakaachia mkopo. Maana makato yalisha pitishwa halafu wakachelewesha mkopo kwa kigezo nadaiwa songesha.

Niliwapigia makao makuu ya crdb kuwaambia wafute huo mkopo sihitaj tena..na waondoe makato yao kwenye ESS..baada ya dakka kumi wakaweka hela kwenye account
 
Hivi hiyo mikopo hua mnalazimishwa kukopa? Tupunguzieni kelele mtaani bana
 
Hata viongozi wetu wa Nchi na wa kisiasa wanatakiwa wawe clean na historia yenye Uadilifu Mkubwa kama hivi ili wawe na sifa za kugombea uongozi.

Haya mambo ya kuwapa viongozi wezi,wafiranaji au wauwaji yataisha.
 
Asante kwa taarifa hii nyeti.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha utani mkuu udaiwe 1000, unyimwe mkopo wa 30m, kweli aliwezekani oficer mkopo wako anamatatizo na hataki kukusaidia, labda ni njia yake ya kuomba percetage, uwe macho.
Acha mazoea. Sio mapenzi ya mtu ni system.
 
Nchi ina wapumbavu wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…