Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
mimi walinipa elf 25Wanatoa bei gani mwanzo na vigezo ni vip.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi walinipa elf 25Wanatoa bei gani mwanzo na vigezo ni vip.
Hapo hata mimi silipi..😂😂😂.iko hivi mimi nilikopa pesa x wakanipa elf 25 siku ya kulipa bado siku moja wakaanza sim na ahadi kibao ukilipa mkopo tunakuongezea hela mimi fasta nikalipa huwez amini wakagoma kunipa tena chance ya kukopa nikaja kujaribu cash x ikaingia hela sasa wakaanza sim zisizoisha namb zinapishana mpya mpya mimi sipokei mwisho wakaanza kunitumia mimeseji ya kijinga wasap nikawa najibu mbona mnadai kama nimekopa mamilioni ya hela mara rudisha hela tunakutangaza kama mdaiwa sugu nikawaambiabsawa tangazeni hela yenu silipi meseji za vitisho za matusi nishaitwa sana mbwa malaya sasa mm nalipa iweje kwa mfano?
Wana vigezo gani mkuu .mimi walinipa elf 25
Hivi hiyo mikopo hua mnalazimishwa kukopa? Tupunguzieni kelele mtaani banaWanajamvi habari zenu,
Kama kawaida nikikutana na kitu kipya lazima nikileta hapa kwa faida ya wengine. Ni kwamba wiki iliyopita nilikuwa nimeomba mkopo wa milioni 30 hivi kwenye mojawapo ya benki hapa nchini. Hii benki nimekuwa mteja wao tangu 2006 kama sikosei nimeshakopa kwao kwa zaidi ya mara tatu hii ikiwa ya nne. Ajabu ni kwamba, baada ya kufanya process zote za mkopo nilipigiwa simu nikaambiwa sitopewa mkopo kwa sababu mimi ni mdaiwa wa Sugu wa Mpewa nina deni la tangu mwaka 2020. Nilistuka kidogo lakini nikasema ngoja nifuatilie, hatua ya kwanza nilipiga simu Vodacom huduma kwa wateja kujua katika line zangu mbili za voda ni ipi ina deni?
Majibu kutoka Vodacom walinambia line zote hazina madeni isipokuwa kuna line moja likopa shilingi elfu 5 na ikawa muda wa kurejesha umepita. Hivo wakati deni linalipwa tayari taarifa zangu zilishaenda huko CRB kama mdaiwa Sugu. HII NI LINE AMBAYO ALIKUWA ANAITUMIA KIJANA WANGU CHUO kwa sababu wakati anaingia chuo alikuwa na miaka 16 kwa sababu alichagua kusoma kwa njia ya Cert, Diploma & Degree.
NI NINI CHA KUFANYA hili lilikuwa swali la pili. Jibu likawa kwamba nenda ofisi za vodacom zilizokaribu nawe ili upate ufafanuzi zaidi. Baada ya kufika Vodashop. Majibu ya Vodacom nenda NCBA Benki upate ufafanuzi zaidi. NCBA kwa official letter kabisa wakajibu hakuna deni na wakaonyesha tarehe ya mkopo na tarehe ambayo mkopo ulilipwa.
SWALI TENA NINI CHA KUFANYA KUCLEAR TAARIFA ZANGU HUKO CREDITINFO, jibu wapigie Simu, baada ya kupiga simu nikajieleza kisha nikaelekezwa kwenye Website yao ambapo nilijaza form ili kupewa taarifa zangu.
Majibu yalikuja ya ina mbili kwamba lile deni la Mpawa lilipwa lakini kwa kuchelewa hivo hizo taarifa zitabaki hivo kwa kipindi cha miaka sita tangu deni kulipwa.
MAAJABU SASA: Hata hii benki niliyokuwa ninaomba mkopo kwao nayo imeniorodhesha kama mdaiwa sugu kwa mikopo yote miwili ambayo yote nilishalipa nikamaliza. mkopo 2019 - 2022 na mkopo 2023 - 2024 ambayo yote imelipwa. Kwani baada ya kumaliza mkopo wa pili niliomba mkopo mwingine ambao ni watatu na sijafanya TOPUP.
Hili la benki nimefungua Dispute kupitia CRB ambaye ataawandikia ili wanijibu ndani ya siku 15 wakishindwa kufanya hivo nitakuwa huru kuwashitaki kwa Defamention. KUHUSU MKOPO WA BENKI NISUBIRI MPAKA MIAKA 6 IPITE.
Wasi wasi wangu ni kuwa kuna watu wengi sana ambao ama kwa kujua au kutojua huenda majina yao yako CRB na wako Blacklisted, kwa sababu kuna watu wamesajiri line za simu ambazo zinatumiwa na ama watoto, house girl, shamba boy nk. Katika hili nadhani CRB wangeangalia namna nyingine ya kurekodi taarifa wanazopokea kutoka kwa CREDITORS.
Mwisho nimenyimwa loan ya milioni 30 kwa sababu tu ya kucheleweshwa Deni la shilini elfu 5 ambayo iko chini ya NCBA.
Kelele mtandaoni nani kakuita wewe papai, si utulie uko ufokolewe utolewe mbegu.Hivi hiyo mikopo hua mnalazimishwa kukopa? Tupunguzieni kelele mtaani bana
Hata viongozi wetu wa Nchi na wa kisiasa wanatakiwa wawe clean na historia yenye Uadilifu Mkubwa kama hivi ili wawe na sifa za kugombea uongozi.Wanajamvi habari zenu,
Kama kawaida nikikutana na kitu kipya lazima nikileta hapa kwa faida ya wengine. Ni kwamba wiki iliyopita nilikuwa nimeomba mkopo wa milioni 30 hivi kwenye mojawapo ya benki hapa nchini. Hii benki nimekuwa mteja wao tangu 2006 kama sikosei nimeshakopa kwao kwa zaidi ya mara tatu hii ikiwa ya nne. Ajabu ni kwamba, baada ya kufanya process zote za mkopo nilipigiwa simu nikaambiwa sitopewa mkopo kwa sababu mimi ni mdaiwa wa Sugu wa Mpewa nina deni la tangu mwaka 2020. Nilistuka kidogo lakini nikasema ngoja nifuatilie, hatua ya kwanza nilipiga simu Vodacom huduma kwa wateja kujua katika line zangu mbili za voda ni ipi ina deni?
Majibu kutoka Vodacom walinambia line zote hazina madeni isipokuwa kuna line moja likopa shilingi elfu 5 na ikawa muda wa kurejesha umepita. Hivo wakati deni linalipwa tayari taarifa zangu zilishaenda huko CRB kama mdaiwa Sugu. HII NI LINE AMBAYO ALIKUWA ANAITUMIA KIJANA WANGU CHUO kwa sababu wakati anaingia chuo alikuwa na miaka 16 kwa sababu alichagua kusoma kwa njia ya Cert, Diploma & Degree.
NI NINI CHA KUFANYA hili lilikuwa swali la pili. Jibu likawa kwamba nenda ofisi za vodacom zilizokaribu nawe ili upate ufafanuzi zaidi. Baada ya kufika Vodashop. Majibu ya Vodacom nenda NCBA Benki upate ufafanuzi zaidi. NCBA kwa official letter kabisa wakajibu hakuna deni na wakaonyesha tarehe ya mkopo na tarehe ambayo mkopo ulilipwa.
SWALI TENA NINI CHA KUFANYA KUCLEAR TAARIFA ZANGU HUKO CREDITINFO, jibu wapigie Simu, baada ya kupiga simu nikajieleza kisha nikaelekezwa kwenye Website yao ambapo nilijaza form ili kupewa taarifa zangu.
Majibu yalikuja ya ina mbili kwamba lile deni la Mpawa lilipwa lakini kwa kuchelewa hivo hizo taarifa zitabaki hivo kwa kipindi cha miaka sita tangu deni kulipwa.
MAAJABU SASA: Hata hii benki niliyokuwa ninaomba mkopo kwao nayo imeniorodhesha kama mdaiwa sugu kwa mikopo yote miwili ambayo yote nilishalipa nikamaliza. mkopo 2019 - 2022 na mkopo 2023 - 2024 ambayo yote imelipwa. Kwani baada ya kumaliza mkopo wa pili niliomba mkopo mwingine ambao ni watatu na sijafanya TOPUP.
Hili la benki nimefungua Dispute kupitia CRB ambaye ataawandikia ili wanijibu ndani ya siku 15 wakishindwa kufanya hivo nitakuwa huru kuwashitaki kwa Defamention. KUHUSU MKOPO WA BENKI NISUBIRI MPAKA MIAKA 6 IPITE.
Wasi wasi wangu ni kuwa kuna watu wengi sana ambao ama kwa kujua au kutojua huenda majina yao yako CRB na wako Blacklisted, kwa sababu kuna watu wamesajiri line za simu ambazo zinatumiwa na ama watoto, house girl, shamba boy nk. Katika hili nadhani CRB wangeangalia namna nyingine ya kurekodi taarifa wanazopokea kutoka kwa CREDITORS.
Mwisho nimenyimwa loan ya milioni 30 kwa sababu tu ya kucheleweshwa Deni la shilini elfu 5 ambayo iko chini ya NCBA.
Asante kwa taarifa hii nyeti.Wanajamvi habari zenu,

smart phoneWana vigezo gani mkuu .
mimi walikua wanapiga sim had saa saba za usiku utasema nimeua mtuHapo hata mimi silipi..😂😂😂.
Na wana matusi haoo!!!
😀 😀 😀 😀 lipa tu mkuukwa hiyo hizi pesa x cash x sjui timiza na wenzao hawa nao vipi
Lipa deni ulikopa kwa hiari yako acha kujaza server za jf kwa kutokulipa deni. hapa jf hawalindi wadaiwa sugu kama weweKelele mtandaoni nani kakuita wewe papai, si utulie uko ufokolewe utolewe mbegu.
Wana website yao kuna fomu unajaza wanakutumia kwenye email yakoHv nikitaka kuangalia taarifa zangu kwa credit bureau nafanyake
tutalipana mbele kwa mbele nitakapoamua kwa sasa wacha nijifanye kiziwi na kipofu😀 😀 😀 😀 lipa tu mkuu
Mi nisha goma kwakweli silipi hawa walishanitishia kunitangaza nikasema hamnijui sasa katangazeni mbona waliacha wenyewe.tutalipana mbele kwa mbele nitakapoamua kwa sasa wacha nijifanye kiziwi na kipofu
Acha mazoea. Sio mapenzi ya mtu ni system.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha utani mkuu udaiwe 1000, unyimwe mkopo wa 30m, kweli aliwezekani oficer mkopo wako anamatatizo na hataki kukusaidia, labda ni njia yake ya kuomba percetage, uwe macho.
kuna msg moja waliniambia unijifanya hutaki kulipa deni mdaiwa sugu mikopo itakuua malaya wewe lipa deni letu nikajibu nishakuamalaya na mdaiwa sugu nikiwalipa niiteni mbwa nimekaa paleMi ni
Mi nisha goma kwakweli silipi hawa walishanitishia kunitangaza nikasema hamnijui sasa katangazeni mbona waliacha wenyewe.
System can be compromised, usifikili ni auto system hapa Africa mara ngapi tuna bypass hizo system.Acha mazoea. Sio mapenzi ya mtu ni system.
Nchi ina wapumbavu wengi sana.Tatizo baadhi ya watanzania ujuaji mwingi anadhani akikopa online au pesa kwa simu basi huyo mkopeshaji bwege hajielewi anajitia ooh ananiķopesha mimi wakati hanijuì
Kumbe online wanaokopesha wanamjua vizuri kupitia line aliyosajili kupitia kitambulisho cha taifa na dole gumba lake
Mtu akitaka kujua kuwa wanamjua vizuri apoteze line aombe kurudishiwa line anaambiwa taja tu namba ya NIDA wataomba namba tu ya NIDA na dole gumba kila kitu cha taarifa zake hiki hapa
Wengi wameelewa na jamii forums haijalalamika kama server zimejaaLipa deni ulikopa kwa hiari yako acha kujaza server za jf kwa kutokulipa deni. hapa jf hawalindi wadaiwa sugu kama wewe